Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Hujasema ulimjulia Jf !!

Msamiliie clareee mkuu!! Bila shaka na mamamtoto wanaendelea vema!
Niliunganishwa July 2016, JF nikajiunga April 3, 2017. Kipindi hicho tunaunganishwa tulikuwa hatuijui JF wote.

Tulikaa mwaka mzima bila kuonana live maana tulikuwa mikoa tofauti, ila tulibakia kujuana kupitia picha na kuwasiliana tu kwa simu.

Baadae tulikuja kuonana live kwa mara ya kwanza, Aisee ilikuwa furaha sana, historia njema kabisa kwenye maisha maana kila mtu akamfahamu mwenzio baada ya kuwa anamuona kwa picha kwa muda mrefu.

Baada ya miaka miwili tangu tuonane live kwa mara ya kwanza, tukafunga ndoa.

Sasa ni 3yrs tukiwa ndani ya ndoa na baby boy wa 1yr.
 
Kuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK

Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.

Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.

Wewe ulikutana naye wapi?
9. Masomoni
 
alikuaga ni rafiki wa bro wangu[emoji23] asa alimpa namba ili tuwe tunabadilishana possibles kipindi cha mitihan ya Six woooii from kubadilishana possibles hadi kuwa wazazi[emoji23][emoji119][emoji174] tuna miaka 6 sasa pamoja[emoji7][emoji3060]
Mlibadilishana mimi lini hiyo. Mbona sikujiona mkinibadilisha😎😎
 
Niliunganishwa July 2016, JF nikajiunga April 3, 2017. Kipindi hicho tunaunganishwa tulikuwa hatuijui JF wote.

Tulikaa mwaka mzima bila kuonana live maana tulikuwa mikoa tofauti, ila tulibakia kujuana kupitia picha na kuwasiliana tu kwa simu.

Baadae tulikuja kuonana live kwa mara ya kwanza, Aisee ilikuwa furaha sana, historia njema kabisa kwenye maisha maana kila mtu akamfahamu mwenzio baada ya kuwa anamuona kwa picha kwa muda mrefu.

Baada ya miaka miwili tangu tuonane live kwa mara ya kwanza, tukafunga ndoa.

Sasa ni 3yrs tukiwa ndani ya ndoa na baby boy wa 1yr.
Mbarikiwe sana
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hajasoma kwa kutulia naona
emoji1787.png
Kabisa
 
Kuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK

Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.

Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.

Wewe ulikutana naye wapi?
Walikuja wageni kutoka nje ya nchi kanisani kwetu tukatambulishwa kanisani ilikuwa jpili moja hivi wanawake kama saba hivi ,tukaambiwa watakuwa Tanzania kwa mwezi mmoja sikuwa na hili wala lile hata sikuwaza ukaribu nao maana sikuwa hata na mpango wa kuoa na church kulikuwa na pisi za hatari,jioni pastor akaniligia simu kuwa nimsadie kuwatembeza kwa kuwa English ilikuwa sio ishu kwangu so nikafanya.

Jtatu nimazuga job huyo kufanya kazi ya bwana Hahahaha mara pa nakuta wamevaa kitown sio kama jana church mmoja akasema aendeshe yeye na mm nikae kushoto kumuelekeza alikuwa binti pisi flani hivi mweusi ambao ndio ugonjwa wangu tukazoeana huwezi amini nilikuta hajaguswa kabla hajaondoka nikaweka wazi kwa wazazi na pastor alifurahi sana ingawa hakujua nimesha haribu,alivyokwenda kwao wakazingua kumbe niliacha mbegu ikabidi arudi tz kwa ndoa kwa sasa tuna watoto wawili na miaka 11ya ndoa ,ni wife material sio ndugu kila mtu anasema wewe USSR kweli ulioa ndoa hupanga Mungu kabisa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitanguliza mbegu kwanza mzee baba 😂😂
 
Nlikua nmetoka kuvuta ganja na msela.wangu, naingia getini nkamuona.
Hapo hapo nkamwambia msela.wangu, oya mkush, huyu mtoto ni mkali hataree. Tukasepa.
Nkaona huyu bado mdogo ntamchanganya na mambo yangu mengi ya dunia.
A year later tukakutana tena getini, nkampa hi, nkamwambia nko spidi ya mwanga ntakucheki. Akauliza mara 2 2 kama namba ake nnayo, nkamwambia nnayo.
Nkaenda kuisaka chimbo l, nkamchek.
Sikuleta gozigozi, first text ni salam, ikafuatiwa na jina langu, ikamaliziwa na lifoto langu nkiwa nmependeza na tabasam pana kama mlevi alieona gongo.
The rest is future and not history...
Mimi na seedco wangu mambo wiuwiu
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]nakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK

Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.

Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.

Wewe ulikutana naye wapi?
Mchumba wangu uko wapi nakuita mara tatu.
 
Mimi meneja kampeni kijana kataa ndoa...sina sweetheart wala honeyboo, sina mpenzi, sina stress, situmi ya kutolea..wazazi wanafikiri mpweke haha hell no,unakuaje na PS5,unlimited data then unakua mpweke..I don't know nikimpata kiboko yangu nitarudi
 
Back
Top Bottom