Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Niliunganishwa July 2016, JF nikajiunga April 3, 2017. Kipindi hicho tunaunganishwa tulikuwa hatuijui JF wote.Hujasema ulimjulia Jf !!
Msamiliie clareee mkuu!! Bila shaka na mamamtoto wanaendelea vema!
Tulikaa mwaka mzima bila kuonana live maana tulikuwa mikoa tofauti, ila tulibakia kujuana kupitia picha na kuwasiliana tu kwa simu.
Baadae tulikuja kuonana live kwa mara ya kwanza, Aisee ilikuwa furaha sana, historia njema kabisa kwenye maisha maana kila mtu akamfahamu mwenzio baada ya kuwa anamuona kwa picha kwa muda mrefu.
Baada ya miaka miwili tangu tuonane live kwa mara ya kwanza, tukafunga ndoa.
Sasa ni 3yrs tukiwa ndani ya ndoa na baby boy wa 1yr.