Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Kuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK

Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.

Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.

Wewe ulikutana naye wapi?
Ulivyotaja kilingeni nikakumbuka mengi.. Nimepamiss[emoji2827]
 
Kuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK

Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.

Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.

Wewe ulikutana naye wapi?
Kilabuni.Nilimuagizia burugutu akanipenda.
 
Mimi meneja kampeni kijana kataa ndoa...sina sweetheart wala honeyboo, sina mpenzi, sina stress, situmi ya kutolea..wazazi wanafikiri mpweke haha hell no,unakuaje na PS5,unlimited data then unakua mpweke..I don't know nikimpata kiboko yangu nitarudi

endelea kujifariji mkuu ety PS5 na bando unlimited[emoji23] tena nyie ndo wapweke vibaya sana[emoji1787][emoji174]
 
Back
Top Bottom