Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Boss Upweke is a choice,,kuna mambo mengi ya kufanya kujiweka busy..

sawa sikatai ila kila kitu kina faida na hasara zake sasa ni swala la kukubali tuu na kuamua uoga ety wa kuchapiwa sijui kuumizwa ndo unafanya mseme kuna mambo mengi ya kujiweka busy[emoji23][emoji119]
 
Kuna wana humu kila siku wanaandika nyuzi wakitafuta wenza. Leo tuwasanue wafanye nini ili watoboe wasipende miteremko..

Nikianza:
Mimi wakati nipo chuo pale Moro, mshikaji wangu alikuja na manzi(demu wake) tukawa tunapiga story, nikamvuta manzi pembeni tukapiga story mbili tatu demu kanogewa kachukua namba, usiku saa nne sms mbili tu mpenzi ninae.

Baada ya week mbili nakaribia kuchoka mbususu, naambiwa huyo demu wa mshikaji wako. nikamwambia hukunitambulisha😂😂😂..... kibaya zaidi jamaa hakuwahi pewa... na kwangu alikuja kuchukuliwa na mtu mwingine tena rafiki... anapenda marafiki sana... 😂 😂

Anyway usiwe domo zege.

Share experience wewe ulimpataje mpenzi wako na ilikua wapi na ilikuaje.
 
Nilikutana nae akiwa ametundikwa mimba huko ilikuwa na miezi minne..

akaniletea swaga za kuwasiliana na ex wake Maku yule..

nikamuacha na mimba ya miezi 9...

akajifungua wiki 2 baada ya break up
 
Nilikutana nae akiwa ametundikwa mimba huko ilikuwa na miezi minne..

akaniletea swaga za kuwasiliana na ex wake Maku yule..

nikamuacha na mimba ya miezi 9...

akajifungua wiki 2 baada ya break up
😂 😂 😂una nyota ya masingo maza
 
Back
Top Bottom