Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

Tuko na mbunge wa Jimbo la Hai naona anafurahia tu kuona moto ukiwaka naye anashangaa kama sisi tunavyo shangaa.

Cha kushangaza moto huo unawaja kutokea upande wa Jimbo la Hai.
Kwani mboye yupo wapi? Isije kuwa katuma watu wakachome
 
Tuko na mbunge wa Jimbo la Hai naona anafurahia tu kuona moto ukiwaka naye anashangaa kama sisi tunavyo shangaa.

Cha kushangaza moto huo unawaja kutokea upande wa Jimbo la Hai.
Hujuma za Sabaya hizo😅😅
 
Bila kujua vyanzo vya hiyo mioto, kila mara kutakuwa kunawaka huko
 
Bora uungue wote tu hauna faida kwenye inchi hi kwanzia uhuru mpaka leo maisha ni yale yale wanalambishana asari na uchawa mwingi hii nchi hii
 
Kuna mtu kibarua kinaenda kuota nyasi
Alidanganya watanzania kule musoma akasema samaki walikufa kwasababu ya matope,
Akaponea chupu chupu kwenye uwekezaji wa ziwa babati,
Kwenye hili la kilimanjaro kuteketea kwa moto sijui kama atatoboa.
 
Back
Top Bottom