Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

Roho mbaya kwa mtu ambaye amenizidi kila kitu mi nimetoa maoni nafuata kauli mbiu ya jf the dare to talk openly shida iko wapi mkuu
Amekuzidi kila kitu!!!?

Usijikatie tamaa namna hiyo mie najua kuna ulichomzidi [emoji38]
 
Usisahau kuna mioto ya asili ya mstuni (wild fires).
Bara zima la Afrika, hatujafikia huko kwenye kuwepo kwa mioto ya asili msituni, hatuna hali ya hewa ya kutisha kiasi cha kusababisha moto... Hapo lazima kuna mtu katia kiberiti... Kila nikiona habari za Moto Kilimanjaro... Nakumbuka wale mbwa waliokufa kule kruga NP S.A
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu tuokoe na hili janga la maskini walahi [emoji22]
 
Amekuzidi kila kitu!!!?

Usijikatie tamaa namna hiyo mie najua kuna ulichomzidi [emoji38]
Wala sijakata tamaa nilitaka kutoa ushindi kwa mpinzani maana naona ilikuwa anaelekea siko nikaona nimpe ushindi si umeona ametulia nilivyomjibu [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom