Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kwani mboye yupo wapi? Isije kuwa katuma watu wakachomeTuko na mbunge wa Jimbo la Hai naona anafurahia tu kuona moto ukiwaka naye anashangaa kama sisi tunavyo shangaa.
Cha kushangaza moto huo unawaja kutokea upande wa Jimbo la Hai.
Bora we umesema me nikajua labda ni kengeza languMbona inaonekana ni taa za magari zinawaka
Hujuma za Sabaya hizo😅😅Tuko na mbunge wa Jimbo la Hai naona anafurahia tu kuona moto ukiwaka naye anashangaa kama sisi tunavyo shangaa.
Cha kushangaza moto huo unawaja kutokea upande wa Jimbo la Hai.
Moto mweupe. Shule yangu ya Form One Geography iliniambia Kilimanjaro ni Domant Volcanic Mountain huenda sasa imekuwa activeUnawaka upande wa marangu sio machame
Hawana lolote hao wachawi akina Mshana. Wao ni mambo ya giza tu na kutisha watuKaka Mshana Jr tunaomba mtazame kwenye vyombo vyenu vya kitaalamu,Kuna nini hapo na akina nani wanaofanya huo uhalifu.
😅😅😅Wachaga wamechukia kwa wanyama wao kuhamishiwa Burigi.
Na ile picha ya ghorofa 40 Arusha iko wapi weweee?Usiku huu picha utaipataje.
Ila kesho utapata picha mkuu
Hapana baby success huna hata kengeza ni taa za magari kweli😘Bora we umesema me nikajua labda ni kengeza langu
Kabsa ndo kifatachoHiyo wataitumia kama hoja ya kubinafsisha mlima
Jua kutofautisha Volcano na moto wa kawaida..huo ni moto wa kawaida na wala sio LavaMoto mweupe. Shule yangu ya Form One Geography iliniambia Kilimanjaro ni Domant Volcanic Mountain huenda sasa imekuwa active
Tulia weweeeHapana baby success huna hata kengeza ni taa za magari kweli😘
Vipi tenaTulia weweee