Wafanya biashara wadanganyifu wasiolipa Kodi.Aisee poleni sana wadau wa Uhuru, demokrasia na maendeleo...
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanya biashara wadanganyifu wasiolipa Kodi.Aisee poleni sana wadau wa Uhuru, demokrasia na maendeleo...
Hebu na wewe tuoneshe hiyo nchi iliyotengenezwa sasa hivi. Bei za mafuta ya kula kupanda? Tozo za simu?Bidhaa kupanda Bei hata kabla vita ya Ukraine? Miradi mkakati kutupiliwa mbali?Hivi nani alituroga watanzania tukamuweka yule chizi ikulu? Aliiharibu nchi kuliko maelezo
Mabaya yake yazikwe Mema yake yaendelezwe !!! Normally we learn through mistakes !!! Duniani tunapita tu !!Anaandika Boniface Jacob ambaye alikuwa Meya wa Ubungo na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, aisee inaonekana wafanyabishara wote...
Kusoma haujui ni kweli.Hata content (maudhui) hujui kuchambua?Bure!
Je ww utadumu?Au ni miongoni mwa wapumbavu wachache mnaojifanya hamufi.Toka JPM afe wamekufa wangapi?Tena walioshangilia Kama ww.Hata ww hautamaliza huu mwaka.Leo yamebaki mafuvu tu utadhani siyo yule aliyejifanya Mungu mtu.
Kila kitu hutokea kwa sababu maalum !! Mwalimu alisema kwa hii katiba iliyopo akipatikana MTU wa kuitumia jinsi inavyomruhusu kufanya basi mjue mtajuta na mtamuita kila aina ya majina!Hivi nani alituroga watanzania tukamuweka yule chizi ikulu? Aliiharibu nchi kuliko maelezo
Ni mwenyezi Mungu pekee ndiye ajuaye ni nani ataenda motoni na nani atakaye Kwenda peponi !!! Tujitahidini kutenda mema kwa kadri tunavyoweza maana Duniani tunapita tu !! Sote ni wa Mungu na kwake tutarejea !!Halafu watumishi wa mungu uchwara wanakesha na kumwombea,Mungu amulaze mahali pema peponi, hata waombe na kuchubuka Mungu wa kweli hapokei rushwa jehanamu inamuhusu.
Mimi sio Mungu, lakin yule hawezi kwenda mbinguniNi mwenyezi Mungu pekee ndiye ajuaye ni nani ataenda motoni na nani atakaye Kwenda peponi !!! Tujitahidini kutenda mema kwa kadri tunavyoweza maana Duniani tunapita tu !! Sote ni wa Mungu na kwake tutarejea !!
Yule shetani ndiyo maana alikufa kifo kibaya alikuwa na roho ya kinyama snAnaandika Boniface Jacob ambaye alikuwa Meya wa Ubungo na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, aisee inaonekana wafanyabishara wote ...
Watu kukosa ajira na mengine mengiAisee poleni sana wadau wa Uhuru, demokrasia na maendeleo....
Hatari snFunza hawaangalii nyota na vyeo wao wanakulaga tu kudadadeqView attachment 2252604
Dikteta mwingine atatokea iwapo atatoboa ni mwigulu Nchemba. Mungu atuepushe nae yule jamaaKila kitu hutokea kwa sababu maalum !! Mwalimu alisema kwa hii katiba iliyopo akipatikana MTU wa kuitumia jinsi inavyomruhusu kufanya basi mjue mtajuta na mtamuita kila aina ya majina !! Mwalimu alitumia neno Dikteta !! Kwa tafsiri zenu tunaweza kusema maneno ya mwalimu yalitimia, lakini je kuna ajabu gani akatokea tena mwingine huko mbele ya safari !! Watu wengine huwa wana uwezo wa kuvaa ngozi ya kondoo na kuficha makucha yao mpaka afike pale kwenye kiti kikuu ndipo atakapo anza kukunjua makucha yake !! Je mtamjuaje ?? Je akitokea atadhibitiwa na kitu gani ?? Tafakari !!!
Hakika umenena vyema hata Makamu siyo mtamuDikteta mwingine atatokea iwapo atatoboa ni mwigulu Nchemba. Mungu atuepushe nae yule jamaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mkuu uko na hasiraLi
LiLaaniwe tumbo liliomzaa yule fedhuli mwanaharamu , ptuuuu . Ile roho ya kiintarahamwe kabisa , wanawake muwe mnaangalia na majitu ya kuzaa nayo sio mnatuletea laana kama Lille takataka
Najua sindano imekuingia. Unaumia anapoguswa mzalendo no1Wanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
wewe inakuuma nini,ndo vizuri ccm ikiendelea kutawala.furahi sasa.Hoja mfilisi pambanen kujenga chama muungwe mkono mtabaki mnasema mtu kashaondoka huku mkiendelea kutawaliwa na ccm iliyojaa ufisadi!
Mmebakiza vioja siyo hoja siyo mwenyekiti wenu wala nyie nyote kwasasa hamna hoja hoja ni matusi dhidi ya mwendazake
Mbwa Koko baba yako na mama yako.Wanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app