Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Wanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Jiwe alikuwa mshamba sana, mwisho wa siku akafa yeye. Watanzania inabidi wote kwa pamoja tushukuru Mungu
 
Hoja mfilisi pambanen kujenga chama muungwe mkono mtabaki mnasema mtu kashaondoka huku mkiendelea kutawaliwa na ccm iliyojaa ufisadi! Mmebakiza vioja siyo hoja siyo mwenyekiti wenu wala nyie nyote kwasasa hamna hoja hoja ni matusi dhidi ya mwendazake
Mwendazake katajwa wapi? Acha usukuma gang mkuu
 
Ila CHADEMA wapuuzi sana. Mnajivunia kutumbua mihela ya ruzuku kwenye mahoteli ya kifahari huku chama hakiwezi hata kupangisha achilia mbali kujenga ofisi nzuri?

Huyo unayesema aliwahi kuwa meya wa sijui wa Ubungo miaka yote na asijue mmiliki wa ukumbi ulio katika eneo lake ni takataka kabisa.
Sukuma gang ni wapumbavu aisee, yaani hujaelewa hata jambo dogo hilo?
 
Hii ndo dalili ya mwili jumba akili kinukta
Kuna watu siasa haziendani nao wanforce tu.
Jitu kuubwa tumbo kulee linapiga makelele kunyimwa lunch.
Huyo jamaa kila siku ndio mleta vurugu kwenye kila vikao viwe chandema au vingine.
Eti X -Mayor matako ya mbuzi.
Jitu kuubwa akili kama punje ya mchele.
Taguta kazi zingine we we bongenyanya k vant na minyama haisaidii kitu.
 
Anaandika Boniface Jacob ambaye alikuwa Meya wa Ubungo na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, aisee inaonekana wafanyabishara wote wa ndani na wa kigeni walikuwa wakimuogopa Magufuli isipokuwa mmiliki wa Mlimani City kama anavyoandika Boniface Jacob hapa
================

ZAMA ZILE ZA GIZA kumbi nyingi sana Dar es Salaam ziligoma Kupokea Pesa za Chadema Kwa ajili ya Kukodi Kumbi za Kufanyia mikutano ya Kamati kuu 2016 Kuelekea Operation Ukuta Giraffe Hotel wao Katikati ya Kikao Walifuatwa na Magari ya Polisi, Wakaturudishia pesa zetu tuondoke

Basi tukavunja Kikao wakiwa wameshapika Chakula cha Wajumbe na Break fast, Ila wakarudisha pesa zote Tiffany Diamond, Wao Siku ya Kikao cha Kamati kuu,Waligoma Kufungua Ukumbi Kufuatia Vitisho walivyo pokea kutoka Serikalini, Wakaturudishia pesa zetu, tukatafuta Kumbi Nyingine

2017 Double Tree Hotel wao Walipokea pesa za Chadema Kwa ajili ya Kikao cha Kamati Kuu Siku 3 ila Baada tuh ya Kikao cha Siku ya Kwanza Kesho yake wakaomba tusi rudi tena pale Hotelini Kwao
Kufuatia Vitisho walivyopokea kutoka Serikalini

Siku Moja Week end baada ya Vikao pia tukaenda Hotel Moja Masaki Kupumzika na Kupata Chakula na Kinywaji Wao Wahudumu Walikatazwa kabisa Kuja kutusikiliza Mezani Kwetu,Tulipo kuwa wakali Meneja alituambia Maboss zake Wahindi Wametuona tukiwa tunaingia Wameogopa sana Ukaondoka

Wamiliki wa Kumbi moja tuh ya Mlimani City hadi Leo hatujui kwanini Walikuwa wanajiamini sana Mara zote Walipokea pesa na Wakatupatia Ukumbi Chadema,Serikali ilipofika kuwatisha Walikuwa Wanatoa akaunti namba za Benki,Serikali iweke pesa zote za Kuwa rudisha Chadema

Mwaka 2019 Ukumbi Wa Mlimani City pakiwa pamepambwa na bendera za Chadema,Serikali Walifika tena Kuwatisha ili tunyimwe Ukumbi, Jamaa wa Katoa Akaunti ya Benki Waingize pesa ili wao wavunje Mkataba na Chadema Kwahasira Serikali ilirudi Mida ya Saa 5 Usiku ikiwa na Polisi wengi

Polisi wakazingira Ukumbi Mlimani City,Usiku Ule Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokuwa Dar es Salaam tukahamasishana Kuja Mlimani City Wanachadema Walipojaa,Polisi Walitoka nje ya eneo la ukumbi kwahasira walipiga Mabomu wakaondoa Bendera zote za Barabarani pamoja Mgambo wa Jiji

Kwa Mabomu yale nilifikiri sasa Wamiliki wa Ukumbi Wa Mlimani City Wataingia Uoga, Siku Nyingine hatutopewa tena Ukumbi Tulienda tena 2020 kukakodi Ukumbi tulijua watagomea, Walaah hata hawakuuliza Maswali, Walipokea pesa wa Katoa Ukumbi, Tukampitisha Lissu kama Mgombea Urais

Nimeitoa TwitterView attachment 2252605
Mungu ibariki Mlimani City
 
Wengi wanao mtukana uki wachunguza hamna walicho badilika ata jamaa alivyo dead wako pale pale
Ukimzuia Benzema kuichezea Madrid halafu dkk ya 89 aingie akute timu yake imepigwa 4-0 unafikiri atafanya nini.
Kuna vitu vinahitajika vifanyike kwa wakati husika ,visipofanyika unakuwa umempotezea timing.
Kama mtu alikuwa anafanya biashara ya korosho,akapotezewa timing inawezekana mtaji umepotea sasa ambao itamchuku muda mrefu kuwa stable tena.
 
Wanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Ila yule jamaa alikuwa katili sana. Alikuwa na chuki hadi na majengo. Aende salama huko alikojiendea.
 
Hoja mfilisi pambanen kujenga chama muungwe mkono mtabaki mnasema mtu kashaondoka huku mkiendelea kutawaliwa na ccm iliyojaa ufisadi! Mmebakiza vioja siyo hoja siyo mwenyekiti wenu wala nyie nyote kwasasa hamna hoja hoja ni matusi dhidi ya mwendazake
Hitler, Amin nk bado wanaongelewa mpaka leo, iweje asaulike wa hivi karibuni?? Nyerere bado tunamwongelea mpaka leo na kesho.
 
Back
Top Bottom