Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Wanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Wazazi wako wamezaa tak.atak.a
 
Ila CHADEMA wapuuzi sana. Mnajivunia kutumbua mihela ya ruzuku kwenye mahoteli ya kifahari huku chama hakiwezi hata kupangisha achilia mbali kujenga ofisi nzuri?

Huyo unayesema aliwahi kuwa meya wa sijui wa Ubungo miaka yote na asijue mmiliki wa ukumbi ulio katika eneo lake ni takataka kabisa.
Mimi ndio nimeuliza jamani, mbona una hasira sana?😅😅
 
Huyu jamaa ni mjinga sana ujue.

Anatajataja kumbi lakini hizo anazoziita kumbi nyingine hazitaji kwa majina.
 
Wanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Mbowe amekulia na kutoka katika maisha ya kitajiri tokea enzi za Nyerere wakati dingi wako alikuwa anashindia mihogo mibichi na alikuwa hana mpango wowote wa kuwa na familia....
Familia ya Mbowe Sr, hata mfu alikuwa anaijua tokea anasomeshwa kwa hela za serikali....
 
Wengi wanao mtukana uki wachunguza hamna walicho badilika ata jamaa alivyo dead wako pale pale
 
Siku Bunge
Mahakama zikiamua simama vizuri bila kuogopa tikiswa ba serikali ndo Tanzania itaendelea.

Mifumo yetu mibovu mno ila wakuibadilisha hawajazaliwa
 
Wanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Bila shaka wewe utakuwa unawafahamu Freeman Mbowe na marehemu Magufuli vizuri sana pengine kuliko Watanzania wote: Mbowe mbwa koko na magufuli mjuaji wake. Ingawa sijui una maana gani unaposema wanajuana na wanatuchanganya tu? Frustrations?

Anyway, Mbowe mbwa koko, kima na uso wa mbuzi bado yu hai, mzima wa afya na "deals zake" zinaendelea. Kasevu maafa kibao kuanzia mauaji ya Akwilina hadi kesi ya ugaidi. Mali zake zimerudi. Sasa anaongea moja kwa moja na Rais Ikulu. Sasa anaondolewaje asiendelee kutuchanganya baada ya Magufuli kwenda zake?
 
Yule hata ubalozi wa nyumba 2 hakustahili ila ubovu wa katiba ya ccm na katiba ya nchi pia nchi kutokuwa na dira ndiyo ilipelekea kiumne wa ajabu kuingia ikulu. Nakumbuka Antony Mtaka akiwa mkuu wa mkoa Simiyu Halima mdee àkiwa M/kiti BAWACHA alikuwa na kikao alihangaika sana kila ukumbi anao kodi kikao kikianza polisi wanakuja kumtishia mmimiliki nadhani karibu kumbi 5 ilishindikana mwisho akafanya kikao kwenye mazingira magumu lakini kilikamilika na polisi waliotumwa kufanya upuuzi wakajikutà wanasikiliza

Halima Mbunge au mwingine.
 
Bila shaka wewe utakuwa unawafahamu Freeman Mbowe na marehemu Magufuli vizuri sana pengine kuliko Watanzania wote: Mbowe mbwa koko na magufuli mjuaji wake. Ingawa sijui una maana gani unaposema wanajuana na wanatuchanganya tu? Frustrations?

Anyway, Mbowe mbwa koko, kima na uso wa mbuzi bado yu hai, mzima wa afya na "deals zake" zinaendelea. Kasevu maafa kibao kuanzia mauaji ya Akwilina hadi kesi ya ugaidi. Mali zake zimerudi. Sasa anaongea moja kwa moja na Rais Ikulu. Sasa anaondolewaje asiendelee kutuchanganya baada ya Magufuli kwenda zake?
Umemjibu vema sana huyo mpuuzi.
 
Wanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Mtaishia kubweka,imeisha hiyo
 
Back
Top Bottom