Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

We had the worst president ever
Yule hata ubalozi wa nyumba 2 hakustahili ila ubovu wa katiba ya ccm na katiba ya nchi pia nchi kutokuwa na dira ndiyo ilipelekea kiumne wa ajabu kuingia ikulu. Nakumbuka Antony Mtaka akiwa mkuu wa mkoa Simiyu Halima mdee àkiwa M/kiti BAWACHA alikuwa na kikao alihangaika sana kila ukumbi anao kodi kikao kikianza polisi wanakuja kumtishia mmimiliki nadhani karibu kumbi 5 ilishindikana mwisho akafanya kikao kwenye mazingira magumu lakini kilikamilika na polisi waliotumwa kufanya upuuzi wakajikutà wanasikiliza
 
Hoja mfilisi pambanen kujenga chama muungwe mkono mtabaki mnasema mtu kashaondoka huku mkiendelea kutawaliwa na ccm iliyojaa ufisadi! Mmebakiza vioja siyo hoja siyo mwenyekiti wenu wala nyie nyote kwasasa hamna hoja hoja ni matusi dhidi ya mwendazake
Mbona unanitolea povu?😂😂😂
Mimi sio Chadema, au kila amzungumziae mwendazake ni chadema?
 
Ila CHADEMA wapuuzi sana. Mnajivunia kutumbua mihela ya ruzuku kwenye mahoteli ya kifahari huku chama hakiwezi hata kupangisha achilia mbali kujenga ofisi nzuri?

Huyo unayesema aliwahi kuwa meya wa sijui wa Ubungo miaka yote na asijue mmiliki wa ukumbi ulio katika eneo lake ni takataka kabisa.
 
Back
Top Bottom