Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

chidy said

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
64
Reaction score
123
Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?

IMG_20200710_150422_555.jpg

2507016_1599148250037.jpg
 
Narudia tena ni hivi.. Elimu yetu aitupi utambuzi ata kidogo bali inatufanya tue duni,waoga,waovu,wanafiki,wapuuzi na mandondocha lakini goi goi wa kufikiria.
Wanyarwanda na warundi wanatabia mbaya pale waingiapo madalakani au kuongoza..hamna kiongozi mzawa wa Tanzania ambae angeweza kufanya au kuruhusu huu upuuzi.
WE SHALL OVERCOME
WE SHALL MISS YOU KIKWETE
Naona unaota
 
Wenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Ki professional ndiyo kuvaa nguo za CCM? Kwani walinzi si ni usalama na jwtz na Polisi hao wanaruhusiwa kuwa wanachama wa vyama vya kisiasa? Rais angekuwa wa chadema walinzi wasingeruhusiwa kuvaa nguo za chadema wangevaa nguo zao za ki Ulinzi acha kuja na mifano isiyo na mashiko
 
Mkuu uprofessional kwa ccm ni kwa watumishi wa umma kuvaa sare za vyama vya siasa? Jamani wenzetu huu ujinga mmeusomea wapi? This is unsual
Wewe toa ujinga wako hapa. Tunaongelea walinzi wa Rais sio CCM. Sasa hao walinzi wameingia darasani na wamesoma mbinu mbalimbali za ulinzi. Je, kama katika mitaala yao kuna hiyo ya kuvaa kuendana na tukio husika ili iwe ngumu kujua Nani ni Nani?
 
Katiba ni mbovu sana, mambo ya kichama walinzi wa serikali wanaenda kufanya nini? magari ya serikali hapaswi kutumika kichama, kilichofanyika ni kubadili no kutoka STK na kuwa CCM
Ni matumizi mabaya ya pesa za umma
 
Back
Top Bottom