Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Labda mimi tu ndo natafakari
20200710_133608~2.jpg
FB_IMG_1594197265198.jpg
 
Wamevaa vile kama zuga tu kutokana kwamba mule ndani weng wamevaa
Kijani
 
Awamu hii wameamua kufuta kabisa mipaka kati ya Chama na Serikali.
Naibu Rais na mtukufu hawaongozi Nchi kwa mujibu wa katiba tu wameongezea Sheria zao binafsi humo humo kwenye katiba
 
Chadema wanafuatilia mikutano ya ccm halafu unategemea tushindwe?
CCM ndio habari ya Mjini Sasa hivi Chadema wanachkua mifomu ya uraisi nobody cares

Macho na masikio nchi nzima ukiwemo Upinzani yako CCM tu habari ya mjini
 
CCM ndio habari ya Mjini Sasa hivi Chadema wanachkua mifomu ya uraisi nobody cares

Macho na masikio nchi nzima ukiwemo Upinzani yako CCM tu habari ya mjini
Hii ina uhusiano gani na vyombo vya dola kuvaa nguo za CCM?
 
Back
Top Bottom