Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Ki professional ndiyo kuvaa nguo za CCM? Kwani walinzi si ni usalama na jwtz na Polisi hao wanaruhusiwa kuwa wanachama wa vyama vya kisiasa? Rais angekuwa wa chadema walinzi wasingeruhusiwa kuvaa nguo za chadema wangevaa nguo zao za ki Ulinzi acha kuja na mifano isiyo na mashiko
When you are in Rome, do as how Romans do..imeisha hiyo..
 
Katiba ni mbovu sana, mambo ya kichama walinzi wa serikali wanaenda kufanya nini? magari ya serikali hapaswi kutumika kichama, kilichofanyika ni kubadili no kutoka STK na kuwa CCM
Serikali ni nini? Nani ni kiongozi wa serikali hiyo kwa sasa? Anatoka chama gani? Serikali iliyochini ya chama kipi ilinunua hayo magari unayoyaita ya serikali?
#Toa hoja substance bhanaa
 
Majibu ya kibavicha huwa ni povu tu siku zote
Ingekua ccm inapora kura lowassa asingepata kura milioni 6
Ccm haiwezi kutoka kwa kutumia wasanii kama mbowe au Tundu lissu
Umemjibu kwa hoja[emoji1319]
 
Lowasa alishinda uchaguzi mkafanya chenji kota za lowasa mkampa mtukufu na za mtukufu mkampa Lowasa, CCM ina wasanii wengi ndiyo maana mnatumia mbinu za uchakachuaji kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ni kwa nini msiache wananchi ndiyo waamue wenyewe?
Wananchi wa nchi gan? Inayoongozwa na serikali ipi??
Nyi ndo mnapigiwaga wake zenu na watu waliotambulishwa kuwa ni cousins wa wake zenu[emoji23]
 
Hiyo kawaida maana wao wameshika dola

Ova
 
Mmesha kosa lakusema Vilaza nyie
Magereza yanajihudumia
Lazima Yatafute pesa
Wamelipwa kama wanavyo lipwa JKT wajengapo Majengo nk
Mjitambue
@MOTOCHINI hayo ya kulipa wewe unayajulia wapi? We endelea na kutoa burudani kwa wenzako!


 
Walinzi wanavaa kuendana na mazingira na Mahali husika.
Kwamba unataka watu wa TISS wavae sare Za TISS au sare zao ni zipi.
Kwamba TAKUKURU wakiingia vikao vya vyama wavae nguo tofauti na za Chama na polisi upelelezi wavaaje..
Sidhani Kama nihoja yeye mlinzi hana chama ila anavaa kuendana na mazingira
 
Mkuu kwahiyo Jeshi ni chama cha Mapinduzi?
Mkuu tunqongelea ishu ya kichama! Walikuwa kwenye shughuli ya kichama! Akaitoka hapo kuja kwenye shughuli za kitaifa hutaona amevaa hizo nguo
 
Nilichogundua Vijana wengi wa CCM siku wameshindwa kujibu hoja, ila wameuvaa ufalme ka wa Mwenyekiti wao, angalia majibu yao kwenye hili swala la Walinzi kuvaa nguo za chama. Wanatumia nguvu na ubabe ili ionekane kua hakuna kosa.
 
1. Hivi mlinzi wa raisi (Usalama wa Taifa) ana chama akiwa kazini?
2. What if ye ni mpenzi wa upinzani au hataki chama?
3. Kesho akiingia mpinzani ikulu atabadilisha chama?
4. Mbona wamevaa mavazi ya CCM wakiwa kazini?

Maana mlinzi wa JPM na Sheini wotee walivaa nguo za CCM...!!!!

Najua sheria za Utumishi wa Umma haijamkataza mtumishi wa umma kuwa na chama (kushiriki siasa) ila zimeelekeza azifanye sio kipindi cha kazi.

FB_IMG_1594380862264.jpg
 
Back
Top Bottom