Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 756
Nasubiri wajuaji waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
May beHuyu jamaa alikuwa nae toka akiwa anagombea. Ni mlinzi binafsi wa john.
Mkuu aahsante kwa kutuletea maana mpya ya kuwa ki-professional. Hilo la CDM nisinge litegemea na wakifanya hivyo nao watapigiwa kelele.Wenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Bro sijapost ili unipashe sijui ulitaka and so forth.. Nilipost ili nielimishwe.Ulitaka avae sare za chadema au Cuf, au yale magwanda ya kijeshi, Kaunda suti kwenye kikao Cha chama cha CCM,
Hizo ni code za mavazi na ilitakiwa wavae hivyo kama wao waliona kuna tija kukamilisha Jukumu lao la ulinzi .
Swala la ulinzi ni kubwa na ni Pana sana kwamba hapo alikuwa anamlinda Raisi ambae pia ni Mwenyekiti wa chama.
Ata mbowe,Seif, dovutwa, siku mmoja wapo akiwa Raisi siku akienda kwenye kikao cha chama basi walinzi nao watapaswa kuvaa kichama kama wataona kuna tija ya kufanya hivyo ili tu kumuweka salama mlindwaji na wao kutokutambulika kirahisi.
Ukitaka isiwe hivyo basi Vinginevyo Katiba itamke Rasmi kwamba Rais wa JMT hatakiwi kuwa kiongozi wa chama cha siasa abakie kuwa ni mwanachama tu na kiongozi wa Taifa.
1. Hivi mlinzi wa raisi (Usalama wa Taifa) ana chama akiwa kazini?
2. What if ye ni mpenzi wa upinzani au hataki chama?
3. Kesho akiingia mpinzani ikulu atabadilisha chama?
4. Mbona wamevaa mavazi ya CCM wakiwa kazini?
Maana mlinzi wa JPM na Sheini wotee walivaa nguo za CCM...!!!!
Najua sheria za Utumishi wa Umma haijamkataza mtumishi wa umma kuwa na chama (kushiriki siasa) ila zimeelekeza azifanye sio kipindi cha kazi.
View attachment 1502836
Lengo la Ulinzi ni nini? Utajuaje kama hayo mavazi waliyovaa iliwalazimu kufanya hivyo ili kujiweka sawa na wengine ili wao wasitambulike kirahisi waweze kufanya kazi yao kwa uhuru na umakiniBro sijapost ili unipashe sijui ulitaka and so forth.. Nilipost ili nielimishwe.
Naomba unipe sheria au rules and regulations zinazosema hivyo?
#YNWA
Hii mpya, mlinzi yule yuko pale kumlinda Raisi wa Tanzania hata kama pia ni mwenyekiti wa CCM. Anaelindwa ni Raisi na mlinzi yule anatakiwa awe kwenye magwanda yake ya mlinzi wa Raisi ambayo tunayafahamu, hizo nyingine ni mbwembwe za kishamba tu.Mkuu tunqongelea ishu ya kichama! Walikuwa kwenye shughuli ya kichama! Akaitoka hapo kuja kwenye shughuli za kitaifa hutaona amevaa hizo nguo
This is the best answerNmeona hata akienda Msikitini wanavaa Kanzu
Hii mpya, mlinzi yule yuko pale kumlinda Raisi wa Tanzania hata kama pia ni mwenyekiti wa CCM. Anaelindwa ni Raisi na mlinzi yule anatakiwa awe kwenye magwanda yake ya mlinzi wa Raisi ambayo tunayafahamu, hizo nyingine ni mbwembwe za kishamba tu.Mkuu tunqongelea ishu ya kichama! Walikuwa kwenye shughuli ya kichama! Akaitoka hapo kuja kwenye shughuli za kitaifa hutaona amevaa hizo nguo
Kuvaa kichama haimaanishi kwamba yeye ni mwanachama inategemea amevaa hivyo akiwa kwenye mazingira gani?Kwahiyo sheria zinamlazimu asiwe na chama?
Chama chake kitakua kulingana na raisi aliyeingia?
#YNWA