Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Naona unaota
 
Wame shonewa sare na mama janeth.TZ ya viwanda
 
Wenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Ki professional ndiyo kuvaa nguo za CCM? Kwani walinzi si ni usalama na jwtz na Polisi hao wanaruhusiwa kuwa wanachama wa vyama vya kisiasa? Rais angekuwa wa chadema walinzi wasingeruhusiwa kuvaa nguo za chadema wangevaa nguo zao za ki Ulinzi acha kuja na mifano isiyo na mashiko
 
Mkuu uprofessional kwa ccm ni kwa watumishi wa umma kuvaa sare za vyama vya siasa? Jamani wenzetu huu ujinga mmeusomea wapi? This is unsual
Wewe toa ujinga wako hapa. Tunaongelea walinzi wa Rais sio CCM. Sasa hao walinzi wameingia darasani na wamesoma mbinu mbalimbali za ulinzi. Je, kama katika mitaala yao kuna hiyo ya kuvaa kuendana na tukio husika ili iwe ngumu kujua Nani ni Nani?
 
Katiba ni mbovu sana, mambo ya kichama walinzi wa serikali wanaenda kufanya nini? magari ya serikali hapaswi kutumika kichama, kilichofanyika ni kubadili no kutoka STK na kuwa CCM
Ni matumizi mabaya ya pesa za umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…