Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Yule mwanajeshi ni 'aide de camp' siyo bodyguard, tunayemjadili ni huyo ambaye kavaa ccm, huyo mweusi tii, titititi, ndiye officially bodyguard.

Je wanausalama tangia lini wameruhusiwa kushabikia vyama vya kusiasa hadharani?
 
This is totally unprofessional, political naivety/novice, crude way of running government business, and unwanted politicisation of state security organs, which we may brand as abuse of public office/power by beneficiary!
 
Vitu vingine mnapenda sana ku complicate wakuu mtataka kujua mpaka rangi ya nguo za ndani sasa. Aisee
 
Kwwhiyo hata Magufuli hapaswi kuvaa sare za ccm kwenye vikao kama hivyo?
Mkuu pale magu ameenda Kama mwenyekiti wa ccm,Ila Ile ingekuwa shughuli ya serikali then akaenda na nguo za ccm,tungeshangaa phD yake ni ya aina gani
 
Labda TISS Sasa instudhibitishia rasmi kuwa wao ni chombo cha ccm na Wala si chombo cha watanzania na nchi yetu Kama tunavyojidanganya
 
Labda TISS Sasa instudhibitishia rasmi kuwa wao ni chombo cha ccm na Wala si chombo cha watanzania na nchi yetu Kama tunavyojidanganya
Hao jamaa Hadi ndani ya cdm wamo wanashirik vikao na gwanda wanavaa.
 
Walinzi hulipwa mishahara kwa kodi za umma ambayo ni pesa ya walipa kodi wote ambao wengi siyo wapenzi wa CCM, walinzi ni watumishi wa umma hawaruhusiwi kuvaa nguo za CCM.
Magufuli analipwa pesa za nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…