Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mnajifanya hamkumuona huyo chalii kabla magufuli hajawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unashangaa Hilo, hata kadi za CCM wanazo.... Ukiambiwa chama kina dola, ndio Hali Kama hiyo....... Hata wanajeshi huwa wana nguo zenye rangi ya chamaWanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
🤣🤣🤣🤣🤣Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Unaelewa unachokiongea? Hawavai nguo sababu ya ushabiki, ni mbinu ya kublend in na crowd. Wewe umemuona huyo mmoja tu, wape wengi sana hapo ambao mtu wa kawaida atawagundua tu wachache wanaonekana karibu na mkuu. Fuatilia baadhi ya event za nyuma za JK, kuna walinzi walikuwa wanavaa hayo mashati.Hizo mbinu akina Kikwete walikuwa hawazijui?
Siyo kawaida, hiyo ni kasoro kubwa sana ya kiufundi.Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Mkuu are you serious! Tangia lini bodyguard akawa ni green guard?Hao ni walinzi wa kisiasa wanaitwa Green guard,hata chadema wanao hao walinzi,so ni kawaida tu
Yani ccm nasikiaga hamna akili sasa nakubali!!! Hapo hata ingekua ACT ni sawa?? Ndio maana hata shule mnafeli mnabaki kufoji vyeti!! Kama DABWenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Mlinzi ana kadi ya CCM?1. Hivi mlinzi wa raisi (Usalama wa Taifa) ana chama akiwa kazini?
2. What if ye ni mpenzi wa upinzani au hataki chama?
3. Kesho akiingia mpinzani ikulu atabadilisha chama?
4. Mbona wamevaa mavazi ya CCM wakiwa kazini?
Maana mlinzi wa JPM na Sheini wotee walivaa nguo za CCM...!!!!
Najua sheria za Utumishi wa Umma haijamkataza mtumishi wa umma kuwa na chama (kushiriki siasa) ila zimeelekeza azifanye sio kipindi cha kazi.
View attachment 1502836
Zipo wapi zile trilion 1.5 zilizomtoa CAG kafara? Zipo wapi trilion 12 za Ndungai?Wewe ni mjinga uliyepitiliza. Hivi hujui kuwa Magu ni mwenyekiti wa CCM na amepata cheo hicho kupitia CCM. Sasa jiulize huyo mlinzi alipata kazi kwa kugombea kupitia CCM? Ndugu yangu, kuna utumishi wa umma na utumishi kwa kofia ya chama. Mmeharibu nchi yetu na mifumo yake yote nyie watu. Namwonea huruma huyo ajaye baada ya kituko hiki kilichopo ambaye ataanza upya kuijenga nyumba yetu. Nyumba yetu kila mahali ni matobo matupu!
Kwani Mlinzi ni mwanachama wa CCM?Kwani nguo zake Za kazi Huyo mlinzi ni zipi? Anauniform Zake za kazi ambazo hakuvaa siku Hiyo? Au huwa anavaa kadiri ya mazingira ya siku Hiyo?
Presidential detail ana camouflage wakati identity yake iko compromised kitambo? Hiyo sura ya jamaa kila mtu anaijua so hahitaji kuwa undercover. Kma walinzi wa kisiri kibao tu wamejichanganya kwenye kadamnasi.Kwanza kabisa Ndugu mtoa mada ninaomba utambue kuwa katika madani za kiulinzi kuna mbinu mbalimbali za kiulinzi, moja ni pamoja na ile atumiaye Kinyonga ya kujibadili kutokana na mazingira kitaalam inaitwa camouflage
pili ninaomba sote tutambue kuwa kuvaa nguo zinazofanana na watu wa chama fulani, sio sifa ya kukueleza kuwa ww ni mwanachama wa chama husika.
Mwisho kabisa nimalize kwa kujibu swali lako, kuwa kuvaa vile kwa walinzi wa MHe. Rais ni halali kabisa, ni sawa tu siku ukimuona amevaa suti,combat au shati la kawaida.
Hivi huyu bonge anaitwa nani ni mtu wa wapi na amesoma wapi?Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Umeandika kibwege sana !Wenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Sasa polisi/jwtz gani aliyevaa sare ya chama?Wale wengine sawa lakini Polisi au Jwtz sioni kuwa ni sawa kuvaa chadema au ccm nk
Yawezekana kuna ukweli, unaonaje ukitupia picha ya aliyekuwa akimlinda Kikwete, Mkapa, Mwinyi au hata Nyerere akiwa na jezi za.CCMUnaelewa unachokiongea? Hawavai nguo sababu ya ushabiki, ni mbinu ya kublend in na crowd. Wewe umemuona huyo mmoja tu, wape wengi sana hapo ambao mtu wa kawaida atawagundua tu wachache wanaonekana karibu na mkuu. Fuatilia baadhi ya event za nyuma za JK, kuna walinzi walikuwa wanavaa hayo mashati.