Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtikila R.I.P aliwahi kusema ni chama cha maj......Hii awamu ya 5 vituko kibao Mara wafungwa kupandisha bendera za ccm
Waacheni wavae... na bunge lote na ikiwezekana lijalo liwe lao kama watakavyo... ikibidi vyama vingine vyote wavifute kibaki chao halafu tusubiri miaka mitano ikiisha tukio gani litatukiaSidhan kama ni sahihi kwa secret servant kuvaa sare za chama cha siasa maana huyo ana jukumu la kutulinda wote hata tusio na vyama bila ya upendeleo wowote
Tatizo ni katiba...Katiba ni mbovu sana, mambo ya kichama walinzi wa serikali wanaenda kufanya nini? magari ya serikali hapaswi kutumika kichama, kilichofanyika ni kubadili no kutoka STK na kuwa CCM
Ni matusi kwa watanzania yaani Magufuli yeye yuko juu ya sheria aibu zake yaani ushamb wake umekolea hajitambuiHabarini wakuu;
Kuna jambo linanitatiza sana sana yani. Katika kampeni zilizoanza za Rais John Magufuli, amekuwa akionekana jukwaani na popote akiwa na walinzi waliovalia sare za kijani yaani CCM. Wale jamaa ni wa kitengo kabisa na hawapaswi kuwa na chama chochote kwani TISS ni chombo huru na hakipaswi ku-align kwenye chama chochote cha siasa. Sasa zile uniforms za kijani, nani kaziruhusu? Najua humu kuna wanasheria na wadau wa ngazi za juu serikalini, naomba tusaidiane. Maana mimi naliona jambo la hatari sana hapa!
Kwani Waliokuwa na Tundu Lissu unawafahamHabarini Wakuu
Kuna jambo linanitatiza sana sana yani. Katika kampeni zilizoanza za Rais John Magufuli, amekuwa akionekana jukwaani na popote akiwa na walinzi waliovalia sare za kijani yaani CCM. Wale jamaa ni wa kitengo kabisa na hawapaswi kuwa na chama chochote kwani TISS ni chombo huru na hakipaswi ku-align kwenye chama chochote cha siasa. Sasa zile uniforms za kijani, nani kaziruhusu?
Najua humu kuna wanasheria na wadau wa ngazi za juu serikalini, naomba tusaidiane. Maana mimi naliona jambo la hatari sana hapa!
View attachment 1557686
Habarini Wakuu

Umeelewa swali au umelewa swali?Magufuli bado ni Rais, ulitaka alindwe na Red brigade ya Ufipa ?