Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan acha kabisa Ukiishi kwenye maisha ya kupanga unasema mwaka wa kupata kwangu ntatulia ,Sasa ngoja upate kwako ukutane na viama vya majirani ,kila Siku mnagombana mipaka kufungiana njia usiombe ukawa na kausafiri basi tafrani tu ,yaani haya maisha yanahitaji ujasiri sana na usipende mazoea na watu ,shiriki katika mambo mbali mbali ya kijamii inapotokea shida saidia ila mazoea yasizidi kabisaaaKweli kabisa!
Yaan acha kabisa Ukiishi kwenye maisha ya kupanga unasema mwaka wa kupata kwangu ntatulia ,Sasa ngoja upate kwako ukutane na viama vya majirani ,kila Siku mnagombana mipaka kufungiana njia usiombe ukawa na kausafiri basi tafrani tu ,yaani haya maisha yanahitaji ujasiri sana na usipende mazoea na watu ,shiriki katika mambo mbali mbali ya kijamii inapotokea shida saidia ila mazoea yasizidi kabisaaa
Kabisa aisee na uwe mtata ila ukiwa mpole watakupanda kichwani ,majirani ni watu wa ajabu sana nimejifunza ww unaweza kuwa fea ila wakakukanyagia tu ,na hata ukisema ujitoe kwa kiasi gani kwa ajili ya ujirani malipo utayolipwa na maneno ya kuzushiwa hutakaa kuwa na hamu wala ushirikiano na hao majirani ,Mungu akikujaalia ,weka fensi piga geti m'baki salamu au kukutana kwenye msiba au shereha tuYaan mpaka mkosane ndio amani itakuwepo
Kabisa aisee na uwe mtata ila ukiwa mpole watakupanda kichwani ,majirani ni watu wa ajabu sana nimejifunza ww unaweza kuwa fea ila wakakukanyagia tu ,na hata ukisema ujitoe kwa kiasi gani kwa ajili ya ujirani malipo utayolipwa na maneno ya kuzushiwa hutakaa kuwa na hamu wala ushirikiano na hao majirani ,Mungu akikujaalia ,weka fensi piga geti m'baki salamu au kukutana kwenye msiba au shereha tu
Unapenda sana udaku dogo. Deal na mambo ya nyumbani. Kwako kama si shwari unataka ukafanyeje? Ya kwako yanakushinda unataka na habari za wenzio. Fanya kazi uwe busy hutotaka kujua mambo yasiyokuhusu.Tupeane Uzoefu wa Tabia za Wenyeji wako, ulizo kutana nazo kwa Jiran yako wa mpakani au mtaa ulio jenga na kuhamia au ulipo nunua kiwanja umepokelewaje? Vipi wenyeji wa pande zote za nyumba au eneo lako? Kuna kosekana wivu na gubu kwa jirana zako? au ndio ile ushazoea husemezani nao? Au umepata wenyeji wema sana?
Kuna Mada nimeziona mitandaon watu wakizungumzia uzoefu wa jinsi ya kuhami makazi mapya na jinsi wenyeji wenye hila walivyo wasumbua, wengine kuugua sana na uchumi kuharibika mazima, wengine kununiwa na wengine kujikuta wanatengwa bila sababu, wengine wana dai uchawi ulikuwa si wakawaida walikaribishwa kwakupimwa uwezo wao kama wana nguvu au lah.
Vipi wewe unauzoefu gani wa kushare na sisi??
Je! nikweli kabla ya kuhamia nyumba mpya anahitajika kiongozi wa kiroho aje kuomba na kama wewe ni wagiza lazima mganga aje kufanya mambo?
Tupeane visa na jinsi ulivyp kabiliana navyo maana kuna watu wanahitaji kujifunza wavuke vikwazo hivyo.. na wengine wametamani hata kuuza nyumba wahame.
Yaani haya mambo mpaka ya kukute ndo utaelewa ,maana kwa kusikia tu unaenza ona jamaa alopiga fensi ni anaroho mbaya hataki ujirani na watu n.k ,maana kawaida ya binaadamu na hasa majirani wanaanza kukuchokoa ukijibu mashambulizi ama kwa kujenga ukuta n.k wanaanza kuact kama wao ndo umewaonea ww ndo mkorofi ,Kabisa nilikuwa siwaelewi watu walopiga Fensi ndefu na kubwa ni majiran wa hovyo kabisaa mkitoka ni salamu tu hakuna kujuana juana
Mbaya zaidi uwe umejenga nyumba inayoonekana bora kuliko wao. Hapo watakufyonza, kukusema eti unaringa nkYaani haya mambo mpaka ya kukute ndo utaelewa ,maana kwa kusikia tu unaenza ona jamaa alopiga fensi ni anaroho mbaya hataki ujirani na watu n.k ,maana kawaida ya binaadamu na hasa majirani wanaanza kukuchokoa ukijibu mashambulizi ama kwa kujenga ukuta n.k wanaanza kuact kama wao ndo umewaonea ww ndo mkorofi ,
Mimi mzee wangu sikuwahi kumwelewa maana yeye alipiga kozi 15 nyumba nzima kuzunguka majirani yaani mlikuwa mkiwa ndani kama mko kisiwani [emoji23]
Ila nimekuja kumwelewa baada ya mimi kujenga na kukumbana na adha ya majirani nami nikafata nyayo zake [emoji23] sasa tuna amani mpaka mtu anakuonea hamu ,ukitoka uko kwenyw gari kioo juu full Tint ...yaani tunaishi nao aisee
Safi sana aiseeeYaani haya mambo mpaka ya kukute ndo utaelewa ,maana kwa kusikia tu unaenza ona jamaa alopiga fensi ni anaroho mbaya hataki ujirani na watu n.k ,maana kawaida ya binaadamu na hasa majirani wanaanza kukuchokoa ukijibu mashambulizi ama kwa kujenga ukuta n.k wanaanza kuact kama wao ndo umewaonea ww ndo mkorofi ,
Mimi mzee wangu sikuwahi kumwelewa maana yeye alipiga kozi 15 nyumba nzima kuzunguka majirani yaani mlikuwa mkiwa ndani kama mko kisiwani [emoji23]
Ila nimekuja kumwelewa baada ya mimi kujenga na kukumbana na adha ya majirani nami nikafata nyayo zake [emoji23] sasa tuna amani mpaka mtu anakuonea hamu ,ukitoka uko kwenyw gari kioo juu full Tint ...yaani tunaishi nao aisee
Kwann ujenge mtaa unaowazidi maendeleo tegemea hayo.Mbaya zaidi uwe umejenga nyumba inayoonekana bora kuliko wao. Hapo watakufyonza, kukusema eti unaringa nk
Ha ha haKwann ujenge mtaa unaowazidi maendeleo tegemea hayo.
Ishi mtaa ambao wewe ndie masikini
Kabisa aisee na usiombe kaumri kako nako kawe kadogo alafu ujikute unafanya mambo makubwa !!! Aisee yaani hapo utapopolewa na kila aina ya silaha al muradi wakusambaratisheMbaya zaidi uwe umejenga nyumba inayoonekana bora kuliko wao. Hapo watakufyonza, kukusema eti unaringa nk
Kabisaa aisee hawa watu wanaona ardhi sijui kama al masi au dhahabu kwa kweli ,ila wahaya hawafai kabisa bora hata wachaga nawaona wana nafuuAsiwe mhaya au mchaga hao ugomvi wa mpaka hawajambo
Point..jishushe...kuwa mnyenyekevu....Daaah umenikumbusha majirani zangu wakati naanza maisha. Yule jamaa na Mke wake walikuwa HODs wa Jiji la mme wake akiwa Injinia nadhan mama alikuwa Accountant. Picha linaanza natakiwa kupeleka mchanga Site ile barabara ya kupita wameitengeneza wao kwa kiwango cha Zegge bad thing sikuwa nimewataarifu kuwa mimi ndie jiran yenu nitaanza ujenzi so and so...
Napigiwa simu gari za vifaa zimekamatwa huku site, nikatinga kibabe kutokea kwenye chimbo langu la utafutaji. Kufika pale nikamkuta Mke wa Jirani, kabla hata sijaongea Chochote akapaza sauti siwezi kuongea nawewe namtaka mhusika mwenyewe, asijue mimi ndiye.
Daaaah.... Baaadae sana kwa kuchangia ujenzi wa ile njia ndipo nikapewa idhini kupita kwa masimango.
Baada ya Project kukamilika heshima ilirudi pahala pake leo tunaishi kwa kutegemeana sana na Jirani yangu baba Muganyizi upande mwingine yupo Mwaisa Mzee wa Matripu hanaga ubaya na Mtu na Nyuma wapo Wasambaa wenye roho nzuri kabisa Baba Beka ingawa jamaa kwa kupeleka moto si haba mpaka nyumba ya pili mnapata salamu zake.
Nilichojifunza kwa majirani ili maisha yaende unapaswa kujishusha na ku act kama mjinga na mpumbavu wa mwisho, usiye mjuaji ili siku ipite ili mambo mengine unawapiga fimbo ile mbayaaaaa. Mf. Watoto wanasoma shule nzuri, Unamtunza na kumtamini mkeo na familia kwa ujumla, Gari nzuri nk nk at the end watakuelewa tu.
Kama jambo halikuhusu ukijihusisha nalo lazima uonekane mwehu.. kwamba hao wanao jibu matukio yenye mafunzo na hao wanaosema wamejifunza kupitia uzi huu wote ni wajinga wewe ndio mwerevu?? Ukiona huelewi sababu ya jambo pita mbali usitake hata kulisogelea utakuwa kama kituko.. ambayo wewe umekuwa kituko hapa.Unapenda sana udaku dogo. Deal na mambo ya nyumbani. Kwako kama si shwari unataka ukafanyeje? Ya kwako yanakushinda unataka na habari za wenzio. Fanya kazi uwe busy hutotaka kujua mambo yasiyokuhusu.
Nahakika moja ya majirani wenye gilba na hila uko mtaan kwako wewe ni mmoja wao.. hivyo ina kuuma sana kuona tuna peana mbinu za kudeal na nyie. Wewe bila shaka ni mshirikina, mwenye wivu na mwenye roho mbaya sana.. hata uandishi wako una dhibitisha ulivyo nafsin mwako..Unapenda sana udaku dogo. Deal na mambo ya nyumbani. Kwako kama si shwari unataka ukafanyeje? Ya kwako yanakushinda unataka na habari za wenzio. Fanya kazi uwe busy hutotaka kujua mambo yasiyokuhusu.
Dogo unapenda sana udakuKama jambo halikuhusu ukijihusisha nalo lazima uonekane mwehu.. kwamba hao wanao jibu matukio yenye mafunzo na hao wanaosema wamejifunza kupitia uzi huu wote ni wajinga wewe ndio mwerevu?? Ukiona huelewi sababu ya jambo pita mbali usitake hata kulisogelea utakuwa kama kituko.. ambayo wewe umekuwa kituko hapa.
Unapeana mbinu ukiishi kwa shemeji yako.Nahakika moja ya majirani wenye gilba na hila uko mtaan kwako wewe ni mmoja wao.. hivyo ina kuuma sana kuona tuna peana mbinu za kudeal na nyie. Wewe bila shaka ni mshirikina, mwenye wivu na mwenye roho mbaya sana.. hata uandishi wako una dhibitisha ulivyo nafsin mwako..