Hakuna PM hapa takataka
Majaliwa yupi? Yule wa Ruangwa au yule aliyeokoa abiria wa Precision Air Bukoba?Kila nikimuona PM Mpya huwa naona bado viatu vya Majaliwa havimtoshi, apunzike atafutwe mwingine....Majaliwa alikuwa na karama na kipaji cha ndani cha Uongozi wa kuitwa Waziri Mkuu, lakini huyu Sasa labda tumpe muda
Moja ya kaimu waziri mkuu wa HOVYO! Tangu tupate uhuru!
RuangwaMajaliwa yupi? Yule wa Ruangwa au yule aliyeokoa abiria wa Precision Air Bukoba?
waziri mkuu LOFA!waziri mkuu anaongea upumbavu kama huu?shame on him
Kuna vitu vinaendelea nchini unaona kabisa hapa tunaongozwa na vilaza, ni vile tu ndio wamepata bahati kwenye system