Afadhali ya zile fix kuliko ujingaujinga wa huyo Madelu ambao ni chukizo hata kwa Maanani.Tena alitumiwa maiki za msikitini akiwa ziarani Mkoani Njombe.
A fool is untrainable!
Yaan inashangaza kwa kweli.Kuna mda unajiuliza hivi aliyempendekeza kuwa waziri mkuu hana washauri kweli au mwenyewe anajiamulia sababu ni amiri jeshi mkuu