Mlio karibu na Waziri Mkuu mwambieni ajitahidi kuacha kuropoka anaaibisha kiti chake

Mlio karibu na Waziri Mkuu mwambieni ajitahidi kuacha kuropoka anaaibisha kiti chake

Kila nikimuona PM Mpya huwa naona bado viatu vya Majaliwa havimtoshi, apunzike atafutwe mwingine....Majaliwa alikuwa na karama na kipaji cha ndani cha Uongozi wa kuitwa Waziri Mkuu, lakini huyu Sasa labda tumpe muda
Naye walewale tu alikuwa.
 
Dr. Mwigulu Nchemba kwa pumba hizi unamdhalilisha hata aliyekuteua. Sasa hivi watu wanataka kusikia jinsi gani serikali inakwenda kutatua kero zinazowakabili wewe kila siku unakaza fuvu kuisakama Chadema na kupanga mbinu ovu dhidi ya Kanisa Katoliki.Hukitendei haki hicho kiti cha Uwaziri Mkuu umekaa kimipasho na malumbano ya vijiweni. Shame on you !!!!!!!!!
 
Tarehe 29 October hapakufanyika uchaguzi,bali mauwaji ya halaiki.


Hivyo hatuna bado kiongozi yeyote, ngaZi yoyote Hadi pale uchaguzi huru utapofanyika.

Sasa usijifanye hamnazo kuandika upuzi.
 
Mwigulu hana unafiq anachokifanya ni kuweka bayana Yale yaliyokua yamefichwa.

Taarifa za mipango na nyaraka za Siri zilivujishwa na wahusika wenyewe.
Hongera Mwigulu endelea kupiga spana.
 
Huyu akili yake ipo kwenye makalio yake. Mwizi wa kufoji, kaua watu wengi huyu aliyefoji vyeti. Hata huo uchaguzi mliofanya mlishinda? Mmeiba kura....hamuwezi kushinda....Wizi ulikuwa wa wazi lakini ninyi hamsemi. Fala wewe Mwigulu Nchemba Madelu. Wewe una majidai sana, bado unaua huna hata haya, umemuua MC Pilipili....utalipa siku moja fisi wewe.
 
Si inasemekana jamaa ni msomi mzuri, tena mchumi wa viwango? Ni nini kimempata? Au ameambiwa apambane yeye ndio atachukua mikoba baadae?​
Unaweza kuwa msomi lakini usiwe na busara.. elimu inakupa knowledge lakini haikupi AKILI... haswa kwa hii elimu yetu ya huku TZ.
sasa hawa viongozi wetu ukizingatia ni washamba wa madaraka, uchu qma tamaa ya mali, kujifanyq wajanja kumbe wajinga mbele ya wenye akili zao timamu.
Ndio wanajikuta wanafanya vitu zaidi ya mabogasi
 
Sijui kwanini nafsi yangu imekataa kumuita Waziri Mkuu.
Tangu ashike hiyo nafasi namuita Ndugu Mwigulu Nchemba.
 
Back
Top Bottom