Do! hiyo haipo ndugu tena hao ndio vichochoro wengi hawajui mitego ya kisasa ya wanaume sema wao wanausiri ila hakuna kitu nduguAnhaa!....Ila ukioa mwanamke ambaye hana hofu ya Mungu basi ni rahisi mno Kuumia kila kukicha mkuu
Kama mwanamke wa kwanza(Hawa) ambaye ni mama wa wanawake na viumbe wote jamii ya wanadamu kadanganywa unafikiri hawa wengine itakuaje mkuu???
Kikubwa awe na hofu ya Mungu la sivyo lolote linaweza kutokea safarini
Huwezi kufanya hitimisho kwa Kutumia taarifa ya mtu mmoja.Huo ni utafiti feki.Mtatumia kila neno hapa,mara simple space,Repli....nini sijui,lakini ukweli ndio huo mtoa mada kauleta
HujaongopaHakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.
Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.
Ukioa Kanda ya ziwa ni kawaida mno kugongewa........
Huyo jamaa hakujiuliza kwa nini mwanaume mwenzake alimuacha huyo single mother?Na ukioa kaskazini je?
Mkuu sisi sote tunaishi katika jamii,tunashuhudia mengi,lakini ugoni tunaona,maugomvi ya kutoaminiana tunayaona na kuyasikia.Huwezi kufanya hitimisho kwa Kutumia taarifa ya mtu mmoja.Huo ni utafiti feki.
Mkuu ukishaoa/olewa hakuna uhuru na mwili wakoMtu anatumia mwili wake kwa ajili yake mwenyewe
Mkuu hao wake za watu ndio hawa wake zetu na watu wenyewe ndo sisiNi ukweli tu kuwa hao tunaowaita "wake za watu" baadhi yao kwa sasa ni wanachezea vibaya mno, kuna wakati nadhani hata singles wana afadhali katika hili, nashindwa kuelewa ni nini, stress za ndoa, tamaa za mali, kukosa kuridhishwa au matamanio ya kibinadamu. Kuna uwezekano wababa wanaolea damu zisizo zao wanaongezeka sana kizazi hiki coz baadhi ya hawa wake zetu wanachapika hakuna mfano.
Kwani kaenda wapi?Kwani mwenyezi Mungu hatarudi tena mkuu?[emoji39]
Mvuvi wa samaki haijalishi anaushawishi mkubwa ana uhakika wa kipato daily kuliko hata mtumishi wa mwisho wa mwezi, habari ya mwa mwanamke tuisemee katika uzinzi ila si kwa aina ya riziki ulionayo. Watu wenye mahaba ya vitu acha tu. Mathias I Mvula kala wife wa mwanetu kisa offer ya kubadilishiwa muundo ambayo nayo haikufanikiwa ila alishakula na anakula kwa kiburi na jeuriHakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.
Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.
Singida mzeeHapo ni
Ukerewe au Musoma
Sio mmoja mama wachungaji wengi mm nawafahamu na bado wanabonywa kwa kawaida....Hakuna cha hofu ya mungu wala nini,kuna mama mchungaji huku anatafunwa ,omba upate mke anayejitambua sio mwenye hofu ya mungu
Ndio ninachokazia Kua aidha wamekuigizia hofu ya Mungu ila binafc hamchi Mungu ila Akiwa machoni pa watu anajikuta mwemaDo! hiyo haipo ndugu tena hao ndio vichochoro wengi hawajui mitego ya kisasa ya wanaume sema wao wanausiri ila hakuna kitu ndugu
Kabisa mkuu,kinachotakiwa ni mke kujitambua awe ana mcha mungu au laSio mmoja mama wachungaji wengi mm nawafahamu na bado wanabonywa kwa kawaida....
Ila kua mama mchungaji haimaanishi ndio anahofu ya Mungu mkuu na Kua mchungaji haimaanishi ndio unamcha Mungu
Mkuu hapo nimemaanisha kumcha Mungu maana akimcha Mungu lazima atakua anajielewa tu, ila ukikutana na bonywabonywa then anasema anamcha Mungu ujue huyo anaigiza tuKabisa mkuu,kinachotakiwa ni mke kujitambua awe ana mcha mungu au la
Subiri ukue vizuri ndio utaelewa somo usijiue tu bwana mdogoHakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli nawapa pole mliooa mnapigiwa sana.
Mnisamehe kama nimekosea kusema haya ila kwa kweli kama mkeo hana tabia hio basi hongera kwa familia zenu ila huo ndo ukweli wenyewe mimi ni shahidi kabisa.