Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
Do! hiyo haipo ndugu tena hao ndio vichochoro wengi hawajui mitego ya kisasa ya wanaume sema wao wanausiri ila hakuna kitu nduguAnhaa!....Ila ukioa mwanamke ambaye hana hofu ya Mungu basi ni rahisi mno Kuumia kila kukicha mkuu
Kama mwanamke wa kwanza(Hawa) ambaye ni mama wa wanawake na viumbe wote jamii ya wanadamu kadanganywa unafikiri hawa wengine itakuaje mkuu???
Kikubwa awe na hofu ya Mungu la sivyo lolote linaweza kutokea safarini