Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

Roger that
 
Karibu kwenye mapambano mkuu.
Huku tunafanya kazi kwa uhuru, tunao muda wa kutosha kutafakari harakati zetu za kiutafutaji na isitoshe kwenye field hii utakutana na wadau wapambanaji wenzako watakupa experience zao na kukufanyia wepesi katika kung'amua changamoto.
Huku utapata wasaa mkubwa wa kuzikamatia fursa na pengine kukupeleka kwenye ulimwengu wa mafanikio!

Hongera kwa kukataa utumwa. Hongera kwa kukataa umasikini. Wengine eti wanasubiri kustaafu ndo waanze mapambano!
Komaa ungali ukiwa damu inachemka...
 
Una umri gani? Je una familia? Hayo ni maswali mazuri ya kuzingatia!
Kama umri wako ni chini ya miaka 30 na hujaoa acha kazi fasta na ujiajiri hata kama mtaji ni kidogo, utakua Nao!
Lakini kama una umri zaidi ya 35! Au kama tayari una familia usithubutu kuacha ajira Bali ajiri mtu asimamie miradi yako!
 
Ushaur mzur sn
 
Kumbka alokuajiri alijiajir kwanza na kuweza kukuajiri wewe umsaidie...Chukua hatua kabla hio jembe haijaisha
 
Wadau ni ushauri wangu tu ila Kama mkiupenda mtaufuata kama huhitaji kuajiriwa na upo Dar Wekeza Alliance in Motion Global ujiajiri mwenyewe kuna watu tumeacha kazi na kujiajiri huko,,na sasa tunatengeneza ela kama mkiipenda na nyie tunaweza kuwasiliana,,
Call /whasap 0716-473786
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Nice thinking. wachache sana wenye ufikir huru kama wewe. Cha msingi tambua hakuna tajiri aliyeajiriwa hapa Duniani. .moja kati ya njia za kuongeza kipato ni kuacha kazi ya kuajiriwa. Big up to u. umefikir nje ya box. Mchukie Boss ona yeye ndo amefifisha ndoto zako,ametumia muda wako kama mkanda wake. Jipe moyo
 
Je ufanisi wa kazi yako umefikia hatua ya kukuitaji wewe tu na sio mwingine? don't just be excited kuacha kazi, nimejifunza mengi na ningeweza kukushauri sana ila hata kwa kuandika sidhani kama itatosha.
From initialy wewe mwebye Idea ndo unatakiwa kuwa kiongozi. Biashara ni kama mtoto mchanga, mtoto mchanga anahitaji sana malezi ya mama mwanzoni tu anapo zaliwa so ni the same na biashara
 
Ni kweli hakuna Tajiri mwajiriwa na hajawahi tokea
 
From initialy wewe mwebye Idea ndo unatakiwa kuwa kiongozi. Biashara ni kama mtoto mchanga, mtoto mchanga anahitaji sana malezi ya mama mwanzoni tu anapo zaliwa so ni the same na biashara

From what you wrote, get an adult advice, don't quit your JOB. Usiache kazi. You might succeed, but this can be a very long and hard way.
 
Asante Mkuu je unafanya biashara gani?
 
Unajifunza wapi? Mkuu mwenye Idea ndo anatakiwa kuongoza Idea yake. Kufanya biashara kwa simu ni kujiandaa kutumia mshahara kulipia wafanya kazi mshahara. Yaani mfano unafuga kuku inabidi uchukue pesa benki ukalishe kuku make no progress
Idea is basically theoretical. impleentation of the idea is practical and it is here where one learns. samahani kwa kubadili lugha.
kwa hivi mkuu unapotekeleza wazo si lazima matokeo yawe kama ulivopanga kwa hivi unapoanza unapata changamoto na unazisahihisha kidogo kidogo
Nina uzoefu flani. niliambiwa ukilima heka moja ya mahindi mabichi utapata milioni 3. nilienda kulima nikaishia mil 1. lakini nilipatakujua sababu kwa nini sikupata hicho kiasi na nikirudia tena nitaongeza kipato na nina hakika. Huko ndiko kujifunza mkuu.
 
Au mtu anayetaka kujinyonga anaomba ushauri kwa wana familia mhi hi hi, kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia asitake easy/faster money huko ni kwenda kuanza moja kabisaa juhudi na malego ndo zitakufikisha utakako kwenda
 
Au mtu anayetaka kujinyonga anaomba ushauri kwa wana familia mhi hi hi, kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia asitake easy/faster money huko ni kwenda kuanza moja kabisaa juhudi na malego ndo zitakufikisha utakako kwenda
Hahaaa ndo hivyo, ukiona mtu anaowaambia ndugu kwamba anataka kujinyonga jua huyo anaogopa sana kifo, ila asie ogopa watu hushitukia mtu ana ning'inia juu ya mti.

Mimi sikuomba Ushauri kwa mtu bali mwenyewe, Mimi ndo kiongozi wa maisha yangu mimi ndo incharge mkuu wa maisha yangu na si mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…