Usijali aisee, tuko pamoja..... Yale maneno ya joti..Ah okey. Sorry nimevamia kumbe.sikuwa najua. Ahsante kwa kunikaribisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh bora hivyo kuliko kuwapa moyo, afu mje mnikimbie
Bora... RRONDO alitahadharisha. Na nikicheki wingu limetandaa.. Haha, waala, kutakuwa hakuna kitu. 🙂
Dereva anakaa pekeake mbele...Maswali mawili tu...
1.Waziri na dereva wake wanaenea humo?
2.Kanatumia siku ngapi kufika Dodoma?
[HASHTAG]#TeamBabyWalker[/HASHTAG]
MmmmmhMkuu hayakupata nini? ID mpya zinashawishi kweli ukiingia unagundua ni mzoefu anakuchora tu.