Nikajua kaacha kumbe bado hafai kuzingua ha haaaHuyo mtu poa ila ukimzingua anazingua Mara 2 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ghkaaa. We Manga ML Ndio nn kunisema hivo!!!Nikajua kaacha kumbe bado hafai kuzingua ha haaa
Halafu relato sio wala nini wewe. Umeanza kuzingua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aache amuachie nani na mie siwezi mavalangati!!! Amepunguza hajaacha si Ndio shoga kidawa Maserati mtoto mzuri
Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Shikamoo mangaHa haaa umeona sasa apo kwa red wengi hufanya hivyo sijawai pita huko na usifanye hivyo bhanaaa
mm apa
Dada angu mieMzima mamy, pacha ako lerato Vipi....
Shunie yupo gud kiasi, kuna mtu kamuwekea uzi sa baby wake analeta shida
Salama kabisa. Pole na mauza uza ya nyuzi za JfSijambo mamy za kwako
Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Wengine tumelazimishwa kubadili ID na nipo njiani kutengeneza ID nyingine hii imeisha muda wakeJamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Nimeshapoa dear ndio jf yetu hiyoSalama kabisa. Pole na mauza uza ya nyuzi za Jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anakudanganya mie nitasepa humu kwa kipindi kirefu sana. Ni mtu unayemuheshimu na kumuona ni mstaarabu, anayejitambua na kujiheshimu. Baada ya muda unamuona anashuka na ID siyo mpya ni ya siku nyingi halafu anataka akuchore. Nikapitia posts nyingi za ID "iliyosepa kwa muda mrefu" nilikoma ubishi ni ndaza wa kutupa nikabaki nashukuru Mungu kwa kunisuru kuuvaa mkenge.
Sijui hasa sababu ya mtu kuwa na ID zaidi ya moja halafu MODS wanaliachia hili tatizo lizidi kushamiri.
Mkuu inategemea na mada zake na michango yake ikiwa ya uchochez lazma uwe na ID nying ili kuepuka kutekwaMtu anakudanganya mie nitasepa humu kwa kipindi kirefu sana. Ni mtu unayemuheshimu na kumuona ni mstaarabu, anayejitambua na kujiheshimu. Baada ya muda unamuona anashuka na ID siyo mpya ni ya siku nyingi halafu anataka akuchore. Nikapitia posts nyingi za ID "iliyosepa kwa muda mrefu" nilikoma ubishi ni ndaza wa kutupa nikabaki nashukuru Mungu kwa kunisuru kuuvaa mkenge.
Sijui hasa sababu ya mtu kuwa na ID zaidi ya moja halafu MODS wanaliachia hili tatizo lizidi kushamiri.
Mkuu inategemea na mada zake na michango yake ikiwa ya uchochez lazma uwe na ID nying ili kuepuka kutekwa
Nani mwenye muda huo Wa kuchunguza mwandikoHaahahh
Fuatilia mwandiko
Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi