Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Nikajua kaacha kumbe bado hafai kuzingua ha haaa
Ghkaaa. We Manga ML Ndio nn kunisema hivo!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aache amuachie nani na mie siwezi mavalangati!!! Amepunguza hajaacha si Ndio shoga kidawa Maserati mtoto mzuri
Halafu relato sio wala nini wewe. Umeanza kuzingua.

Mimi nimeacha jamani,ila sipendi mtu awe beyond the limits. That's all jamaniii mi thio mkorofi in relato voice
 
Mtu anakudanganya mie nitasepa humu kwa kipindi kirefu sana. Ni mtu unayemuheshimu na kumuona ni mstaarabu, anayejitambua na kujiheshimu. Baada ya muda unamuona anashuka na ID siyo mpya ni ya siku nyingi halafu anataka akuchore. Nikapitia posts nyingi za ID "iliyosepa kwa muda mrefu" nilikoma ubishi ni ndaza wa kutupa nikabaki nashukuru Mungu kwa kuninusuru kuuvaa mkenge.

Sijui hasa sababu ya mtu kuwa na ID zaidi ya moja halafu MODS wanaliachia hili tatizo lizidi kushamiri.

Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
 
Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Wengine tumelazimishwa kubadili ID na nipo njiani kutengeneza ID nyingine hii imeisha muda wake
 
Mtu anakudanganya mie nitasepa humu kwa kipindi kirefu sana. Ni mtu unayemuheshimu na kumuona ni mstaarabu, anayejitambua na kujiheshimu. Baada ya muda unamuona anashuka na ID siyo mpya ni ya siku nyingi halafu anataka akuchore. Nikapitia posts nyingi za ID "iliyosepa kwa muda mrefu" nilikoma ubishi ni ndaza wa kutupa nikabaki nashukuru Mungu kwa kunisuru kuuvaa mkenge.

Sijui hasa sababu ya mtu kuwa na ID zaidi ya moja halafu MODS wanaliachia hili tatizo lizidi kushamiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu inategemea na mada zake na michango yake ikiwa ya uchochez lazma uwe na ID nying ili kuepuka kutekwa
 
Back
Top Bottom