Mliobadili ID....

Hilo la kubadili username Mkuu halina utata kabisa.

Mimi nmechange username
 
Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..

Kuna Mademu hata wakibadili ID's zao mara 100 lakini bado tu hawatupi mvuto na ushirikiano uliotukuka wa kuwatongoza kwani wana full ' nuksi '.
 
Pole
 
Unabadili ID ili iweje? Hebu tuwekee sababu za kina za kuwa na ID zaidi ya moja na unapozitumia hutaki watu wajue kwamba una ID A, B, C labda na kuendelea
Huwa naiacha na kufungua nyingne mpya ya zamani ndyo inakuwa R.I.P ukitaka sababu kila mtu anasababu zake binafs na huwa sababu hazilingani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…