Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Hilo la kubadili username Mkuu halina utata kabisa.

Sio vyema kipi?? Kubadilisha ID ni illegal thing humu JF? basi wamiliki na mods wana halalisha illegal things. Maana huwezi badilisha ID bila wao kufanya hivyo.

Kama unaona sio vyema u better take your 50 let me deal with mine. Hujalazimishwa kukubaliana na maamuzi ya kila mtu and I don't care on others I only do with mine.

hey,Tae chill pills
Mimi nmechange username
 
Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..

Kuna Mademu hata wakibadili ID's zao mara 100 lakini bado tu hawatupi mvuto na ushirikiano uliotukuka wa kuwatongoza kwani wana full ' nuksi '.
 
Mtu anakudanganya mie nitasepa humu kwa kipindi kirefu sana. Ni mtu unayemuheshimu na kumuona ni mstaarabu, anayejitambua na kujiheshimu. Baada ya muda unamuona anashuka na ID siyo mpya ni ya siku nyingi halafu anataka akuchore. Nikapitia posts nyingi za ID "iliyosepa kwa muda mrefu" nilikoma ubishi ni ndaza wa kutupa nikabaki nashukuru Mungu kwa kuninusuru kuuvaa mkenge.

Sijui hasa sababu ya mtu kuwa na ID zaidi ya moja halafu MODS wanaliachia hili tatizo lizidi kushamiri.
Pole
 
Unabadili ID ili iweje? Hebu tuwekee sababu za kina za kuwa na ID zaidi ya moja na unapozitumia hutaki watu wajue kwamba una ID A, B, C labda na kuendelea
Huwa naiacha na kufungua nyingne mpya ya zamani ndyo inakuwa R.I.P ukitaka sababu kila mtu anasababu zake binafs na huwa sababu hazilingani
 
Back
Top Bottom