mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Vp mtaalam... Upo?Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mtaalam... Upo?Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani umenichekesha, alafu sasa na kujitoa kwenyewe hujitoi bado upo tu!! Haya mambo bwana!!
Utafikiri wakati unaingia ulitutangazia.....!
Aaaah chezea ule uzi!! Lazima adabu irudi. Na watuliage hivyo hivyo.Nashukuru, naona kafichwa na weekend na mamsap. [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaha!, Siwawezi nyie watu. Lakini si ndio send off party hiyo, unataarifu watu wanakuja kukuaga na maua na neno la shukran.
Sio unaondoka kinyemela halafu baada ya muda watu hawakuoni hapa lakini wanaanza kuona kivuli chako na kuanza kupata ma nightmares na kutoa mapovu.
espy mi staki ujue...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Aaaah chezea ule uzi!! Lazima adabu irudi. Na watuliage hivyo hivyo.
Sio mtu kurudi nyumbani the whole week ni saa5 usiku, na w.end pia haupo home!! Chaaaah!! Hadi siku ukikaa nyumbani ndio ile watoto hawaamini wanakushangaa kama mgeni vile!!Hehe, kwa kweli uzi umefanya kazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za kuoeana nightmare sio vizuri bwana, watu tusijewehuka bureee!!
RRONDO alishasema ajise watongoza mara ya pili. Ukiaga utoke kweli na ukirudi utoe taarifa. mimi nikikukubali mara ya pili basi hiyo ni destiny tuendelee tu maana haiwezekani iwe coincidence tu!!!
Sio mtu kurudi nyumbani the whole week ni saa5 usiku, na w.end pia haupo home!! Chaaaah!! Hadi siku ukikaa nyumbani ndio ile watoto hawaamini wanakushangaa kama mgeni vile!!
Ukute kuna mwandiko aliona unafanana na wa ex wake akaona sasa hapa balaa linaanza[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaha!, eti ukirudi utoe taarifa...lol
Naona RRONDO aliamua kuwa mkweli tu badala ya kuingia mazima halafu kuvaa mkenge. Na kama sio hivyo mkikutana tena basi ni destiny. Tehe!
Ukute kuna mwandiko aliona unafanana na wa ex wake akaona sasa hapa balaa linaanza[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka akataka kujikwaa makusudi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha!, kwa kweli. [emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwizi lazima ahisi nae anaibiwa.
Leo "mchumba" atakuwa kambana,chezea mambo ya w.end[emoji12][emoji2]
Atakuwa kashatoka viwanja sijui..