Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani umenichekesha, alafu sasa na kujitoa kwenyewe hujitoi bado upo tu!! Haya mambo bwana!!

Utafikiri wakati unaingia ulitutangazia.....!

Hahaaha!, Siwawezi nyie watu. Lakini si ndio send off party hiyo, unataarifu watu wanakuja kukuaga na maua na neno la shukran.
Sio unaondoka kinyemela halafu baada ya muda watu hawakuoni hapa lakini wanaanza kuona kivuli chako na kuanza kupata ma nightmares na kutoa mapovu.
espy mi staki ujue...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za kupeana nightmare sio vizuri bwana, watu tusijewehuka bureee!!

RRONDO alishasema ajise watongoza mara ya pili. Ukiaga utoke kweli na ukirudi utoe taarifa. mimi nikikukubali mara ya pili basi hiyo ni destiny tuendelee tu maana haiwezekani iwe coincidence tu!!!
 
Hehe, kwa kweli uzi umefanya kazi.
Sio mtu kurudi nyumbani the whole week ni saa5 usiku, na w.end pia haupo home!! Chaaaah!! Hadi siku ukikaa nyumbani ndio ile watoto hawaamini wanakushangaa kama mgeni vile!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za kuoeana nightmare sio vizuri bwana, watu tusijewehuka bureee!!

RRONDO alishasema ajise watongoza mara ya pili. Ukiaga utoke kweli na ukirudi utoe taarifa. mimi nikikukubali mara ya pili basi hiyo ni destiny tuendelee tu maana haiwezekani iwe coincidence tu!!!

Hahaha!, eti ukirudi utoe taarifa...lol
Naona RRONDO aliamua kuwa mkweli tu badala ya kuingia mazima halafu kuvaa mkenge. Na kama sio hivyo mkikutana tena basi ni destiny. Tehe!
 
Sio mtu kurudi nyumbani the whole week ni saa5 usiku, na w.end pia haupo home!! Chaaaah!! Hadi siku ukikaa nyumbani ndio ile watoto hawaamini wanakushangaa kama mgeni vile!!

Haha, umenikumbusha wakina Ngoda95 walivyokuwa wanajishuku ile siku, wanaona kama vile watoto walikuwa wanawasema, cos wanaona si kawaida baba kuwa nyumbani mapema ati!
Waendelee hivyo hivyo kwa kweli.
 
Hahaha!, eti ukirudi utoe taarifa...lol
Naona RRONDO aliamua kuwa mkweli tu badala ya kuingia mazima halafu kuvaa mkenge. Na kama sio hivyo mkikutana tena basi ni destiny. Tehe!
Ukute kuna mwandiko aliona unafanana na wa ex wake akaona sasa hapa balaa linaanza[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Kwa kweli, mwandiko huwa haupotei. Itabidi tu kujitambulisha ili kusaidiana, mtu ni vizuri aseme tu jamani ni mimi niliyerudi na msitarajie mwingine.🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti msitarajie mwingine.

RRONDO alikuwa anakusalimia
 
Back
Top Bottom