Formula ile ile uliyotumia kuanza nayo kunywa pombe ndiyo hiyo hiyo unayopaswa kuitumia kuacha kunywa pombe.Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
Akiweze manage na control hata hakiwa hana hela anakausha tu mimi principles yangu kama sina hela nakausha tu hata offer sitakiFormula ya kukosa kabisa pesa ya kunywea zaidi ya mwaka,na kuepuka kunywa za ofa.
Mkuu umeadimika sanaaFormula ya kukosa kabisa pesa ya kunywea zaidi ya mwaka,na kuepuka kunywa za ofa.
Hapo Sasa kazi ngumu...maana Raha ya Mia matumiziKukosa hata mia ni ngumu
Maisha ndugu yangu nilikuwa uchaka flan hakuna networkMkuu umeadimika sanaa
Afu hao the so called washkaji ndio wanaonicost balaaKitu chochote ukiweza kuki manage ku control addiction yake basi utaweza. Kwanza kua na muda wa kusema ukweli leo sinywi pombe. Tafuta jambo la kufanya ambalo litakuchukulia muda.
Ukitoka na washikaji sio iwe kila siku, siku zingine singizia una dozi usionje pombe. Fanya hivyo mara 21.
Pombe usiache ila wewe ndio unatakiwa uicontrol useme leo nakunywa au sinywi