Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Unataka kuacha pombe uwe mchawi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu dalili gani ulianza kuonaUgonjwa tu..niliambiwa ini langu limeanza kujaa
Mungu akusaidieMimi tangu juzi mpaka Leo nijanywa kitu ambacho before sikuweza, pombe na umalaya vinaleta umasikini na vinamaliza sana sana pesa. Acha pombe utaona tu unavyoanza kung'aa sura ya utoto inarudi. Pombe imenizeesha kiasi ambacho wenzako wa umri mmoja wananisalimia shikamoo. Nina wakati mgumu sana wakuirudisha sura yangu aliyoniachia mama angu Enzi za uhai wake. Nimeshasema sitagusa asilani abadani pombe situmii tena, Malaya situmii tena. Nipo tayari kukaa hata miaka 5 bila sex mpaka hapo nitakapoowa