Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

Mimi nakunywa tangu Niko darasa la tatu hadi Leo. Nilipoajiriwa nilikuwa naona pesa Ile hainitoshi. Nikaacha ajira ile na kuingia kwenye biashara zangu Ili niwe napata pesa ya kula gambe Kila day. Nashukuru saiv Kila siku jioni ninapiga chupa kadhaaa( 5 na kuendelea) na maendeleo mengine kwa ajili ya family nafanya. Nakushauri usiache pombe ila balance mambo yako na pia ongeza shughuli ya pembeni ya kupata pesa ya ziada.
N.B hakuna dawa ya kuacha pombe usidanganyike.
 
Pole, ila nadhani haujatia nia hasa. Yani kwa mfano ukiambiwa ukinya glass mok ya ziada utakufa unadhani utathubutu kuendelea kunywa ?!

Ipo hivi jambo zima liko mikononi mwako kama huuna nia ya DHATI ya kuacha hata tukushauri hapa kwa comments 3 Million kupita hata uzi wa rickboy kula kimasihara bado HAUTAACHA.

Kwakua wewe unatamani kuacha ila hauna NIA YA DHATI ya kuacha. Mtu mwenye nia ya dhati wala haitaji kushauriwa jinsi ya kuacha kwani ataacha tu.
 
Ukiona una uraibu wa kupitiliza wa starehe fulani fahamu ya kwamba hujitambui na hiyo starehe si kwa ajili yako!!
 
Habari wadau,

Mimi nimekuwa mtumwa wa pombe, natamani sana kuacha ila nashindwa. Nani amepitia hii situation na kufanikiwa kuacha?

Msaada please.
Aisee pole sana. Mimi mpaka kesho sijawahi kuilewa ladha ya pombe kiasi cha kujisikia kiu. Na katika hili namshukuru Mwenyezi Mungu. 🙏
 
kama mtu una kazi ya kufanya na upo busy plus majukumu sidhani kama pombe inaweza kukusumbua kuachaaa... hata bhangi naona ni kujiendekeza tu. Ishu kuacha kubet na nyeto au kama unakulaa ungaaaa aiseee.
 
Wakuu

Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.

Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
sasa kiongozi unaachaje pombe kwa mfano? nchi itapataje kodi? acha udwanzi kula biere nasema tena kula biere
 
kama mtu una kazi ya kufanya na upo busy plus majukumu sidhani kama pombe inaweza kukusumbua kuachaaa... hata bhangi naona ni kujiendekeza tu. Ishu kuacha kubet na nyeto au kama unakulaa ungaaaa aiseee.
Nyeto ndo noma kuacha ata kama upo busy na kazi kias gan ukiamka tu unakiwasha
 
Asikudanganye mtu ndg dawa zipo, Mimi ni shuhuda wa Hilo, Nilipewa mchanganyo flani sikuuelewa mpaka Leo sijagusa Tungi .
Namiss vingi aisee .
 
Asikudanganye mtu ndg dawa zipo, Mimi ni shuhuda wa Hilo, Nilipewa mchanganyo flani sikuuelewa mpaka Leo sijagusa Tungi .
Namiss vingi aisee .
Ungekua umeacha usingevimiss hivyo unavyovisema,we sema umepumzika kunywa tu.
 
Back
Top Bottom