Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wakuu

Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.

Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
 
Kitu chochote ukiweza kuki manage ku control addiction yake basi utaweza. Kwanza kua na muda wa kusema ukweli leo sinywi pombe. Tafuta jambo la kufanya ambalo litakuchukulia muda.

Ukitoka na washikaji sio iwe kila siku, siku zingine singizia una dozi usionje pombe. Fanya hivyo mara 21.

Pombe usiache ila wewe ndio unatakiwa uicontrol useme leo nakunywa au sinywi
 
Formula ile ile uliyotumia kuanza nayo kunywa pombe ndiyo hiyo hiyo unayopaswa kuitumia kuacha kunywa pombe.
 
Mimi tangu juzi mpaka Leo nijanywa kitu ambacho before sikuweza, pombe na umalaya vinaleta umasikini na vinamaliza sana sana pesa. Acha pombe utaona tu unavyoanza kung'aa sura ya utoto inarudi. Pombe imenizeesha kiasi ambacho wenzako wa umri mmoja wananisalimia shikamoo. Nina wakati mgumu sana wakuirudisha sura yangu aliyoniachia mama angu Enzi za uhai wake. Nimeshasema sitagusa asilani abadani pombe situmii tena, Malaya situmii tena. Nipo tayari kukaa hata miaka 5 bila sex mpaka hapo nitakapoowa
 
• Fanya Mazoezi Kila Siku.
• Anza Kupunguza Ulevi Mdogo Mdogo.
• Anza Kunywa Maji Mengi.
• Tembelea YouTube na Kwenye Mitando Usome Madhara Yatokanayo na Pombe Ikiwemo Kifo katika Umri Mdogo.
• Kuna Kitu Kinaitwa (Plaque) Kwa Kiswahili sijui itaitwaje, ni utando Flani unajitengeneza kwenye Njia Za Damu, Ambazo Zinapunguza Ukubwa Wa Mifereji ya Damu. Itapelekea Kupata matatizo Makubwa ya Moyo.
Alafu hii Plaque ikishajitengeneza Hakuna Kitu Cha kuitoa Tena Mwilini Mwako labda ufanyiwe Upasuaji..

Mambo ni Mengi Muda Mchache. Achaneni na Pombe Bora Mle Kitu.
 
Kitu chochote ukiweza kuki manage ku control addiction yake basi utaweza. Kwanza kua na muda wa kusema ukweli leo sinywi pombe. Tafuta jambo la kufanya ambalo litakuchukulia muda.

Ukitoka na washikaji sio iwe kila siku, siku zingine singizia una dozi usionje pombe. Fanya hivyo mara 21.

Pombe usiache ila wewe ndio unatakiwa uicontrol useme leo nakunywa au sinywi
Afu hao the so called washkaji ndio wanaonicost balaa
 
Back
Top Bottom