Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

Yaani ile ijumaa pombe imenihabisha sana...yaan kwa lile tukio..likijirudia tena basi nitanyoosha mikono juu...hapa ninapoandika hii sms jicho moja halioni vizuri..nimepigwa na mtt mdogo sana..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
Ukikuwa utaacha ndg.
 
Kwanini uache? ulevi ndio mbaya lkn kama ni mnywaji tu wakawaida wee endelea haina shida.
Kama imefikia steji ww siku haiwezi kwenda bila kunywa basi hiyo ndio mbaya.
 
Mimi sikufanikiwa kuacha ila nilifanikiwa kupunguza kwa salimia 60%. nakumbuka kuna mwaka mmoja nilikuwa nakunywa kila siku yani kwa mwaka ni siku 365 bila kukosa hata siku moja. nashukuru nilikuwa nazingatia sana chakula na maji mengi sana. japo sura ili badilika kidogo.

Nimeteseka na hiyo hali mpaka nikaja kuona sasa pombe inanikata maana nilianza kulewa kwa haraka na kizembe sana, kuanza kutokuwa na zingatia vitu kwa wakati, kuwa mvivu bila sababu, kuzima, kutetemeka, yako mengi sana ila saizi naweza kaa hata miezi 4 nikaenda bar nikanywa bia 4 au 5 nikitoka hapo basi ni mwezi tena au baada ya week mbili au nikisikia kiu. na kiu huwa inakuja kama sina kazi tu maana niliamua kujiweka busy kuepuka company za ulevi.

Mambo ni mengi ila ushauri ukiweza ku control pombe haina tatizo kabisa na chakula na maji na mazoezi ni jambo la msingi sana.
Na epuka pombe kali kunywa mara kwa mara hasa hizi za bei cheee au fake.
 
yaan mimi pombe...chakula nakula vizur tuu..tena nikilewa ndio napata njaa..kabla sijaanza kunywa maji pembeni...kinacho niuma maboko..cheki boko ili nimepaki gar sehemu..pembeni jamaa kaja kupak karibu na mimi..na gar zinafanana haswa...nafungua mlango wa gar ya mtu huku nalalamika gar imejiloki uwiii..kumbe yangu ipo pembeni..😂😂
 
Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
Swali la kwnza ambalo ni gumu ni ulianza lini kunywa pombe,na kwanini ulianza kunywa pombe,kwa sasa ukiwa na ni kitu gani kinakusukuma kunywa pombe,je ukiwa umechoka,mawazo,au msongo unatumia pombe kujipooza?majibu ya haya maswali ndo yataamua kwamba unaweza kuacha pombe au huwezi!
 
Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
Mi niliachana na kampani ya wanywaji na kujiweka sana busy... nna mwaka wa 3 sijagusa hiyo kitu.
 
Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
Jibu la kisaikolojia rahisi sana.

Kumbuka pombe sio addiction ni obsession tu

Naweza kusema kuwa kuna sababu moja au kadhaa zinazokufanya uiwaze pombe.

Mimi binafs nikiwaza kitu hata kidogo vp nikiona kinanipa stress nakwwenda kupata pombe. Endapo nikapata faraja ingine kwa mtu au kwa kitu sinywi pombe.

Aniliacha ikabaki sababu nyingine ya pili. Marafiki zangu sina stress wala furaha wakinialika mahala pombe ipo sioni sababu ya kuacha.

So ukiwa na sababu ya kuacha na ukijua nini kinakufanya unywe bas imeisha.

Nianze kwa kukuuliza KWANINI UNATAKA KUACHA NA KWANINI HUWA UNAKUNYWA SABABU IPO.
 
Mara ya mwisho kunywa kilevi ilikuwa March 2020, niliamua kuacha baada ya kuona kuwa pombe/ulevi si chochote kwangu na hakuna faida naitengeneza zaidi ya madhara.
Nilijifanyia "Water "Therapy" kwa zaidi ya miezi 9 ya mwanzo, yaani kila nikaenda sehemu za starehe (bar/grocery/club) Mimi ni maji tu wala sio beer au soda tena nawashukuru rafiki zangu wote kila tukiwa outing na wao pia waliheshimu maamuzi yangu na kunipa support.

Kitu nimeshindwa kuacha kabisa ni kuweka🍆kwa 🍑 ila nitaweza kuacha kabisa by 2025 at my forty.
 
Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?

Hakikisha umelewa sana hadi ujinyee na kujikijolea mbele ya watu,yaani habari imfikie hadi mkeo. Mtaa mzima ulindime habari yako,hapo utakuwa umefanikiwa kuacha Pombe kabisa.sawa mkuu
 
Back
Top Bottom