Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

KUACHA POMBE
Ili uweze kuacha pombe lazima uamua mambo yafuatayo:
1. Msukumo wa ndani wa kuacha.
2. Kuachana na marafiki zako walevi.
3. Kuwa na sehemu au jambo linalo hitaji zaidi muda wako na pesa yako. Kiujumla kuwa na shughuli/hitaji kwa pesa zako.
4. Kuwa na namna nyingine ya kurefresh akili yako hasa mida ile uliyokuwa mara nyingi waenda kukaa sehemu kunywa.
Mfano: kama kila ukitoka kazini waenda bar basi jiongezee extra duty ili mida hiyo usiwe bila shughuli. Au mida ya kwenda kunywa wajipa ratiba ya gym ama mazoezi.
5. Tafuta kinywagi kingine ukitumie kama mbadala,tuseme wapenda serengeti lager baridi waamua Kuwa mtumia wa Coca Cola baridi. Ni mind game na waitrain akili kuaccept hilo.
Hakuna mbinu kubwa yakuweza kukufanya ukaacha pombe zaidi ya kuamua mwenyewe kukua na kuachana na jambo ambalo walioona halina faida kwako. Ukiamua mwenyewe utaweza ila ukiamua kuacha kwa mihemko bila kuamua toka nafsi mwako mwenyewe waacha ni ngumu,na huwezi Sema unaacha tu ghafla ukaacha hapana watakiwa punguza kiwango chako chakunywa pombe na muda wako unaotumia kuwa bar na marafiki zako upunguze kidogo kidogo na kama ulikuwa wanywa kimakundi anza kunywa pekeyako ,kama ulikuwa wanywa saba basi jizoeshe kuanza kunywa walau tatu tu na kwenda kulala.
MUHIMU: NI WATAKIWA AMUA MWENYEWE MIMI NILIWEZA ACHA NILIKUWA SIKU KAMA JPL NA JMOSI HIVI NAWEZA AMKA J3 NIKASHINDWA KWENDA KAZINI KABISA HOI. WAZEE WA VIBANDA VYA CCM IRINGA ILIKUWA HATARI SANA ILA NASHUKURU NILIWEZA KUACHA NA MPAKA SASA MWAKA WA PILI HUU SIJATUMIA KILEVI.

Nimewasaliti chama wazee wenzangu wa vibanda vya CCM Iringa zaidi kwa sasa kampani nayo toa kwa wadau ni kula tu ile kitimoto pale.
 
Hapana mkuu sio kwa ubaya maana sie wanaume lazima uksmatike kumoja... ukikoswa kwenye ulevi basi uasherati 🤣

Sasa mzee baba, kukutanisha vikojoleo ile si ni nature, ni matumizi sahihi ya viungo...😁😁

Lakini masanga ni kitu wanadamu tumetengeneza kuumiza internal organs zetu for no reasons...
 
Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
Hakuna aliyeweza acha kuwa nguvu zake. Mpe Yesu maisha yako nawe utakuwa salama.
 
mimi naamini kunywa pombe nyingi ni kukaa na marafiki, jaribu kukaa nao mbali utajikuta unapiga mbili unaenda kulala na baada ya mda utaanza kuona hata wakati mwingine hakuna ulazima wa kunywa unaamua siku hiyo kupumzika.

pombe za kunywa kwa magroup huwa ni shida sana.
 
Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
Usiache Pombe Mkuu
Kula Raha Chukua Huu
20220814_203543.jpg
20220814_203456.jpg
 
Sasa mzee baba, kukutanisha vikojoleo ile si ni nature, ni matumizi sahihi ya viungo...😁😁

Lakini masanga ni kitu wanadamu tumetengeneza kuumiza internal organs zetu for no reasons...
Kuna addiction ya ngono aisee... unakuta mtu kwa wiki analamba wadada hata sita na hela yote inaishia huko. Vivyo hivyo kwa pombe pia ni addiction.
 
Mzee wangu huwa ananiambia pombe huwa haiachwi ila inakuacha wewe.
 
Wakati unaanza kujifunza kunywa Pombe, sisi tulikuwepo?
Anyway, Kama uliweza kujifunza kunywa pombe na ukafanikiwa, basi tumia hiyo hiyo formula kwa kuacha, yani jifunze kuacha.
 
Wakuu
Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa.
Nyie wenzangu mliobahatika kuachana na unywaji wa pombe mlitumia formular gani kuachana na hii addiction?
From my personal experience, Nilikua mnywaji mzuri tena wa kukaa viti vilefu ila baada ya kukutana na Jesus Christ, Tena kwa njia ya redio,nikazaliwa upya (Born again) , roho mtakatifu akaondoa kiu ya pombe hata Radha siikumbuki. Njia Ni Moja tu,mpe YESU maisha yako akutoe utumwani,ukiitaji msaada zaidi wa kiroho niambie
 
Back
Top Bottom