Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

Sex utaweza kweli?
 
😂 😂 😂 😂 😂 Ngumu kazini
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulianza polepole,lakini pia tafuta kitu cha kukuweka bize na kutoshinda na wanywaji.
 
Kwanini uache. Kiafya au kiuchumi?

Mzee piga moja, kiu inaisha unarudi ghetto.

Me kusema kweli Bar uwa nafuata mademu, pombe sio kivile yaani nafuata kuwaona wale wahudumu basi me nafuraha.
We jamaa upo kama Mimi,yan ukiwa hivi huwi mlevi ..unakuwa tu unamwagilia moyo

Yaani vitu 2 pisi kali na mziki mkubwa mzuri..hasa pisi ziwe nyingi,hapo naweza kukaa na kupiga bia kadhaa,la sivyo sinywi pombe kabisa..Kuna kipindi nilikuwa mkoa flani kikazi huko nyanda za juu kusini,sasa Kila baa nikienda nakuta mhudumu ni mwanaume,nikienda grocery nyingine nakuta inahudumia pisi moja..nilikaa mwezi mzima bila kunywa pombe
 
Hizi mada haziishagi halafu zinachekesha sana. Watu wanataka kuacha pombe lakini ki ukweli hawataki. Mtego upo hapo 🤣🤣🤣🤣
 
Tupo katika safari hii moja ya kuipenda na kuithamini afya yetu, hakika hatutalegeza masharti, hatuli tena mbususu mpaka ndoa, Mungu tusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…