Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

Mkuu una roho ngumu kwa nini uache pombe aisee, mkuu tungi usije ukaacha
 
Tatizo lako unakunywa local bia lazma uchakae.
 
Niliacha 2020,Mbinu ni kuamua mwenyewe na kufocus majukumu yaliyo mbele.Mimi ilikua nikinywa mpaka bar ifungwe.Ugomvi wa kufa mtu.Niliaumua nikasema imetosha.
 
Ukikuwa utaacha basi ila mie nilinyimwa na daktari nikaambiwa nitakufa basi nikaacha
 
Mungu akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…