Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

Miaka mi5 itakuwa ngumu sana kuna ICC,kuna magninistky pact kuna Israel Hawa wote wanawangojea kwa hamu
 
Believe me , narudia tena , JPM ana mapungufu mengi , ila atakuja kukumbukwa kuwa among of the best Tanzanian president ever .....

Sa hv watu tunaishi Kwa utaratibu , zaman kupigwa risasi hadharani na mtu ilikuwa kawaida ukienda mahakamani jiandae kupigwa nyingine , now angalau somehow kila kitu kipo systematically , zaman wazir anachota hela ya miradi anakwambia ni visent na raisi anachekelea , unaenda ofsin unazungushwa na kuangaliwa kama kinyesi na maafisa , nchi ilikuwa kama haina kiongozi, wananchi mnabak na makovu moyoni , acheni Tu amalize miaka yake mitano mitano but one day atakumbukwa Kwa machozi lakni time already gone .....

Ndipo tutakapoishi kama Kenya , Burundi na Libya Maisha ambayo wengi wasiojielewa ndo wanayatamani Kwa kisingizio cha democrasia hewa , kama kichekesho cha marekani wananchi kupiga kura lakn raisi anapitishwa na watu sjui miatano na ngap huko ila huku kikundi kichache kikipitisha raisi et inakuwa Africa tuna laana ...
 

Ziko nafasi za kimamlaka ukishafikia adabu na heshima ni lazima si kubembelezwa. Hawezi kuzira kama nyumba ndogo yenye mimba changa.

Makamu/Naibu wa Rais Mama yetu kasema vizuri. Wameona matunda ya kusimamia nidhamu kwa umakini na bila ubabaishaji katika utendaji wa serikali na watumishi wake. Matunda hayo yamejidhihirisha kwenye sanduku la kura. Kwa maneno mengine pamoja na kuwa iliwawia vigumu na taabu mwanzoni lakini baadaye wame appriciate mtazamo wa JPM. He was right tangia mwanzo.

Akili kubwa jamani, tufanyeje sasa hatuna budi kusifia ukweli bila unafiki wowote.
 
Yani Majawaliwa huyu, aliyejipendekeza mpaka kumpa pongezi Rais kwa kuapa vizuri ndio akatae uteuzi? Wewe jamaa unaleta mdhaha hapa.
 
Unataka kusena nani anajipendekeza kwa Mheshimiwa.
 
Kwa tunaojua / tunayoyajua 'Makosa' yake tokea alipokuwa 'Big Boss' pale 'Azikiwe' Dar es Salaam kumpa 'Uwaziri Mkuu' ni 'Kuwatusi' Watanzania.
Anatufaa sana huyo uwaziri sio lazma uwaziri mkuu... Mimi namuona katika hio angle ataplay well

Makosa yapi hayo tudokezee kidogo
 
Mbona sasa wewe umejipendekeza mkuu?
 
Tuondoleee umbea wa kijita hapa. Kamuulize JPM mwenyewe aliyemteua huyo Majaliwa. Tatizo unajifanya mjuvi wa mambo na kupenda kutafsiri kila jambo. Kiherehere.
Hahahaha... umenichekesha sana mkuu. Eti "umbea wa kijita" hahahaha kweli unawajua wajita wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…