Mliochomwa Sindano za COVID-19 mnaendeleaje?

Ndugu yangu kwa mwaka anasafiri nchi 5 hadi 7, nchi za Ulaya zikiwemo.
Ukihesabu siku anazo kaa na familia yake Tanzania ni chache kuliko nje ya nchi.
Jamaa hajadungwa chanjo ya COVID-19 na hana mpango huo.
 
kwa wale wasafiri wa mambele ilikuwa lazma no way out.
 
Ni kwa kuwa haujaelewa vyema lengo la chanjo. Kama ingekuwa ni hivyo, watu wasingeumwa TB, SURUA NA MENGINEYO.

1: Chanjo huuandaa mwili kupambana na ugonjwa husika bila kuleta madhira makubwa/complications.

2: Chanjo huweza kuikinga jamii dhidi ya ugonjwa husika pale ambapo asilimia 90 na zaidi ya watu husika wakichanjwa. Ndiyo maana kuna magonjwa hupotea duniani baada ya chanjo yake kuwafikia watu wengi. Mfano: smallpox
 
Waliochanjwa walikuwa wanasubiri wenzao wafe.

Na ambao hawakuchanjwa walikuwa wanasubiri waliochanjwa wageuke mazombie
[emoji1787][emoji1787] that z the truth. and none of them is will happen.
 
Unaongelea magonjwa ya Asili na sio huu ugonjwa wa kutengeneza maabara.
Na chanjo yake nayo itakuwa ni scam obviously
 
Unaongelea magonjwa ya Asili na sio huu ugonjwa wa kutengeneza maabara.
Na chanjo yake nayo itakuwa ni scam obviously
Nipe utofauti ya kuumwa/disease processes kati ya:

1: Ugonjwa unaoitwa wa asili na huo unaoitwa wa kutengenezwa.

2: Chanjo inavyofanya kazi kwa ugonjwa wa asili na isivyofanya kazi kwa ugonjwa unaoitwa si wa asili.

3: Nipe ushahidi kuwa TB au Surua ni ugonjwa wa asili na SARS/Covid ni ugonjwa usio wa asili.
 
Magonjwa uliyotaja hapo yanaambulizwa Kwa virus au bacteria wanaojulikana.
Ila COVID ni kama bio weapon
Yenye viriants tofauti yaani totally scam na imethibitishwa
 
Maana yake pathogens they natural available na sio man made
 
Wacha weeeee [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndo ulivyokaririshwa maskini [emoji23][emoji23][emoji23]

Unanukuu tu mwenyewe yaniiiii [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Magonjwa uliyotaja hapo yanaambulizwa Kwa virus au bacteria wanaojulikana.
Ila COVID ni kama bio weapon
Yenye viriants tofauti yaani totally scam na imethibitishwa
1: Unajua utogauti wa bioweapon na scam?

2: Unajua strain za HIV virusi ngapi au Hepatitis?

3: Nimekuomba uthibitisho wa haya yote kwa kunieleza disease processes ya haya mambo ya ugonjwa asili vs wa kutengenezwa.
 
Wewe mwenye uelewa leta maelezo yako uliyogundua.

Huo ndo msingi wa chanjo.

Mengine tunawaachia anti- vaccine group.
Wacha weeeee [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndo ulivyokaririshwa maskini [emoji23][emoji23][emoji23]

Unanukuu tu mwenyewe yaniiiii [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Mimi niliamua kuchanja sababu nilikuwa baaria na hiyo ndio ikuwa pass yangu yakusafiria. Nashukuru chanjo haikuweza kuni disappoint.
 
Magonjwa uliyotaja hapo yanaambulizwa Kwa virus au bacteria wanaojulikana.
Ila COVID ni kama bio weapon
Yenye viriants tofauti yaani totally scam na imethibitishwa
Wewe mpaka sasa unawajua bakteria na virus wangapi? Viumbe hai viko static kwenye kuzaliana hakuna mnyumbuliko wa kuzaliwa au kuota kitu kipya?

Unajua mutation?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…