valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Ile chanjo Mimi imeniongezea moto balaaaUliyakanyaga
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile chanjo Mimi imeniongezea moto balaaaUliyakanyaga
Haujawa Zombie 😂😂🤣Binafsi nlipata chanjo...am doing great.
Watu walikuwa wanatisha sana...Haujawa Zombie [emoji23][emoji23][emoji1787]
Ndugu yangu kwa mwaka anasafiri nchi 5 hadi 7, nchi za Ulaya zikiwemo.Chanjo muhimu
Uvuki mpaka bila kibunda cha chanjo
• Homa ya manjano
• uviko
• sijui ini
• ya Mbu inakuja
• ya ukimwi ipo mahabara
• ya ebola inasogea
• ya dengue inafangiwa tafiti
• nk
Wasafiri tutachoma... mliojifungia nyie ata msipo choma hakuna neno
Ni kwa kuwa haujaelewa vyema lengo la chanjo. Kama ingekuwa ni hivyo, watu wasingeumwa TB, SURUA NA MENGINEYO.Siku zote nilikuwa najua mtu akipewa chanjo ya ugonjwa fulani, ndiyo amemaliza. Yaani hawezi tena kuupata huo ugonjwa katika maisha yake yote hapa duniani.
Sasa ilipokuja chanjo ya Corona, Mabeberu wakasema unachanjwa, lakini unaweza tena kupatwa na huo ugonjwa. Niliposikia tu hiyo kauli, nikajua hakuna chanjo hapo. Na mpaka leo sijutii kutokuchanja.
[emoji1787][emoji1787] that z the truth. and none of them is will happen.Waliochanjwa walikuwa wanasubiri wenzao wafe.
Na ambao hawakuchanjwa walikuwa wanasubiri waliochanjwa wageuke mazombie
Ila wapo walio ukosa uwaziri kwa kushindwa kusoma kilicho andikwa kwenye kiapo!CCM chama changu hakina watu wa aina yako wasiojua kuandika neno maabara
Unaongelea magonjwa ya Asili na sio huu ugonjwa wa kutengeneza maabara.Ni kwa kuwa haujaelewa vyema lengo la chanjo. Kama ingekuwa ni hivyo, watu wasingeumwa TB, SURUA NA MENGINEYO.
1: Chanjo huuandaa mwili kupambana na ugonjwa husika bila kuleta madhira makubwa/complications.
2: Chanjo huweza kuikinga jamii dhidi ya ugonjwa husika pale ambapo asilimia 90 na zaidi ya watu husika wakichanjwa. Ndiyo maana kuna magonjwa hupotea duniani baada ya chanjo yake kuwafikia watu wengi. Mfano: smallpox
Nipe utofauti ya kuumwa/disease processes kati ya:Unaongelea magonjwa ya Asili na sio huu ugonjwa wa kutengeneza maabara.
Na chanjo yake nayo itakuwa ni scam obviously
Magonjwa uliyotaja hapo yanaambulizwa Kwa virus au bacteria wanaojulikana.Nipe utofauti ya kuumwa/disease processes kati ya:
1: Ugonjwa unaoitwa wa asili na huo unaoitwa wa kutengenezwa.
2: Chanjo inavyofanya kazi kwa ugonjwa wa asili na isivyofanya kazi kwa ugonjwa unaoitwa si wa asili.
3: Nipe ushahidi kuwa TB au Surua ni ugonjwa wa asili na SARS/Covid ni ugonjwa usio wa asili.
Maana yake pathogens they natural available na sio man madeNipe utofauti ya kuumwa/disease processes kati ya:
1: Ugonjwa unaoitwa wa asili na huo unaoitwa wa kutengenezwa.
2: Chanjo inavyofanya kazi kwa ugonjwa wa asili na isivyofanya kazi kwa ugonjwa unaoitwa si wa asili.
3: Nipe ushahidi kuwa TB au Surua ni ugonjwa wa asili na SARS/Covid ni ugonjwa usio wa asili.
Wacha weeeee [emoji23][emoji23][emoji23]Ni kwa kuwa haujaelewa vyema lengo la chanjo. Kama ingekuwa ni hivyo, watu wasingeumwa TB, SURUA NA MENGINEYO.
1: Chanjo huuandaa mwili kupambana na ugonjwa husika bila kuleta madhira makubwa/complications.
2: Chanjo huweza kuikinga jamii dhidi ya ugonjwa husika pale ambapo asilimia 90 na zaidi ya watu husika wakichanjwa. Ndiyo maana kuna magonjwa hupotea duniani baada ya chanjo yake kuwafikia watu wengi. Mfano: smallpox
1: Unajua utogauti wa bioweapon na scam?Magonjwa uliyotaja hapo yanaambulizwa Kwa virus au bacteria wanaojulikana.
Ila COVID ni kama bio weapon
Yenye viriants tofauti yaani totally scam na imethibitishwa
Wacha weeeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo ulivyokaririshwa maskini [emoji23][emoji23][emoji23]
Unanukuu tu mwenyewe yaniiiii [emoji85][emoji85][emoji85]
Umetoa maneno ya kutafsiri mawazo yako na si ushahidi wa unachokieleza.Maana yake pathogens they natural available na sio man made
Wewe mpaka sasa unawajua bakteria na virus wangapi? Viumbe hai viko static kwenye kuzaliana hakuna mnyumbuliko wa kuzaliwa au kuota kitu kipya?Magonjwa uliyotaja hapo yanaambulizwa Kwa virus au bacteria wanaojulikana.
Ila COVID ni kama bio weapon
Yenye viriants tofauti yaani totally scam na imethibitishwa