Mliochomwa Sindano za COVID-19 mnaendeleaje?

Ile ilikuwa biashara ya makampuni ya mabeberu, hiyo chajo ilikuwa relevant huko kwao siyo huku Afrika ambako magonjwa ya mfumo wa upumuaji yakiwemo mafua yanayotokea kwa msimu hayajawahi kuthibitiwa kwa chanjo bali wale wanaoambukizwa hupata matibabu ya kawaida tu ya dawa za allergy, maumivu na wachache wanapewa antibiotics basi.​
 
Bila shaka hata kile cheti cha COVID ni batili,kina kazi gani wakati zile variant za uviko zimekwisha.
 
Wengi wanakufa vifo vibaya mno
 
Moja ya uzi bora zaidi duniani.
Utapigwa sana mawe, ukweli una baki pale pale.
Maisha sio bendera fuata upepo!.

#NASIMAMA NA MIMI, CHANJO HAPANA.
 
JIONI MOJA, NILIPITA KITUO CHA MAFUTA, KUWEKA PETROLI.
BAADA YA KUJAZA TANK, YALIMWAGIKA KIDOGO NA SIKUSIKIA HARUFU YAKE.
NDIO NIKAKUMBUKA KWA SIKU TATU SISIKIII RADHA YA CHAKULA.
SIKUTUMIA DAWA YOYOTE, CORONA ILIONDOKA KAMA ILIVYO KUJA.... KIMYA KIMYA
 
Waliochanjwa walikuwa wanasubiri wenzao wafe.

Na ambao hawakuchanjwa walikuwa wanasubiri waliochanjwa wageuke mazombie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…