mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
- Thread starter
- #21
tia neno kiongoziNafuatilia kwa ukaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tia neno kiongoziNafuatilia kwa ukaribu
hii ni contemporary nayo?Mimi nimeezeka hivi bado kidogo mbao kidogo , mwonekano wa kuvutia, rangi inalingwa kwa jua na mvua na gharama kidogo sana kwa fundi
USSR
View attachment 3172235
We jamaa sikuelewi,mbona ni kama nakuona kotekote?😳kiongozi si mnasema kufa kufaana au
Nitatia mvua zikikatatia neno kiongozi
unyama sanaMimi nimeezeka hivi bado kidogo mbao kidogo , mwonekano wa kuvutia, rangi inalingwa kwa jua na mvua na gharama kidogo sana kwa fundi
USSR
View attachment 3172235
Inapendeza zaidi kwenye hizo picha za 3d ila kiuhalisia inakuwa kama nyumba za long time agounyama sana
vp kiongozi nikujalie namba ya fundi maiko?We jamaa sikuelewi,mbona ni kama nakuona kotekote?😳
kwaniniHizo nyumba siyo nzuri hata kidogo.
Kama mimi sasa ndio napenda sana vya kale. Nyumba, magari vikiwa designed katika kisasa ndio unyama sasa naopenda.Inapendeza zaidi kwenye hizo picha za 3d ila kiuhalisia inakuwa kama nyumba za long time ago
🤣🤣🤣🤣Mtavujiwa mpaka mkomevp kiongozi nikujalie namba ya fundi maiko?
Hiyo hapo inapendeza kwa picha hizo ila ukikutana na nyumba ya kisasa imeezekwa hivyo, utaona jinsi ilivyoharibiwa.Kama mimi sasa ndio napenda sana vya kale. Nyumba, magari vikiwa designed katika kisasa ndio unyama sasa naopenda.
vipi kiongozi kwema uko?Hali mbaya
Nyingi zinavuja sanakwanini