City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Ilishuka kama masihara lakini haikuleta madhara kwa familia.Mtu kalala anashangaa gypsum inashuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilishuka kama masihara lakini haikuleta madhara kwa familia.Mtu kalala anashangaa gypsum inashuka
Wahandisi wa hovyo tuu!kuna mafundi local wapo na uwezo mkubwa sana kuliko hao wahandisi wa kwenye makaratasi, Kifupi ujenzi huo haukuwa kwa ajili ya bati sema watu wanalazimisha tuMafundi Michael wa Bongo ni tatizo kwenye ujenzi wa hizo nyumba.Kama mtu unapenda hizo nyumba bora utumia wahandisi sio hawa mafundi wetu ili kukwepa gharama,mwisho utalia.
Utapgwa shotiNanyeshewa nikiwa ndani hadi natoka nje kupumzika.
Ndio maana natoka nje kupumzika.Utapgwa shoti
Kwahiyo mkuu ukitaka hii bora upige zege sio?Wahandisi wa hovyo tuu!kuna mafundi local wapo na uwezo mkubwa sana kuliko hao wahandisi wa kwenye makaratasi, Kifupi ujenzi huo haukuwa kwa ajili ya bati sema watu wanalazimisha tu
Haswaa hiyo ndiyo asili ya contemporary roofingKwahiyo mkuu ukitaka hii bora upige zege sio?
Labda tutoboe nyumba nzima maana yanapotea Kila sehemuToboeni kishimo yatoke nje.
Hee🙆♂️Mtu kalala anashangaa gypsum inashuka