Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Dipreshen hiyoAaah, mafundi!!! Mhdastxsghtribcd zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dipreshen hiyoAaah, mafundi!!! Mhdastxsghtribcd zao.
bora ulivyoamua kufanya hivyoNlitaka piga hii kitu ila fundi akaniambia mzee yani hii kitu ilibidi tuanze kuiandaa tukiwa kwenye msingi sio tumemwaga mkanda wa lenta ndipo unakuja na wazo hili nyumba itavuja mpaka uchanganyikiwe. Nikaachana nayo nikaezeka kawaida na sasa hakuna hata sehemu hata moja inayovuja.
Yeah watu wanafosi watoto waende kwenye njia ya maliwato.Haahaaa kiongozi utaki watoto waende chooni🤣
Ni dipresheni plus plus.Dipreshen hiyo
Haaahaaa ndo style mpya iyo kiongoziSijawahi kuzielewa nyumba hizo. Kwanza nikiiangalia naiona kama nyumba ambayo bado haijaisha, yaani inawndelea kujengwa
kiongozi usiogope ingia mzimamzima acha kusitasita😄Bado nafuatilia kwa ukaribu sana
MatesoNi dipresheni plus plus.
daahNi dipresheni plus plus.
Mkuu nilikuta nyumba ya kiongozi wa mkoa X kajengewa nyumba ya mfumo huo wa hidden roof na injinia wa mkoa lakini ilikuwa inavuja kama meli ya Titanic. Tangu lile tukio mimi nahisi nyumba hizo zipauliwe kwa zege yani ziwe na msingi imara na nguzo za kutosha kubeba zege (ROOFING) yaan kama vile unataka kujenga ghorofa.wakuu hiden roof au contemporary haina shida yoyote shida ipo kwenye mafundi wenu mnaowachukua hawajui kazi, ukiweka sinn roof(gundi ya kuzibia kwenye ukuta na bati) na wall flash cover kuvuja utakusikia kihama.
mnalalamika sababu ya kuchukua mafundi kanjanja ambao hawajui chochote
kumbe mabosi nanyinyi ni sheeeda hamkawii kubadili gea anganihii kitu ilibidi tuanze kuiandaa tukiwa kwenye msingi sio tumemwaga mkanda wa lenta ndipo unakuja na wazo hili nyumba itavuja mpaka uchanganyikiwe
Kwa mvua nilivozishuhudia huku niliko, ukiwa na hizo nyumba za kuficha paa lazima utatoka mwenyewe humo ndani uende kutafuta sehemu salama ya kujificha maana mvua ni kali balaa na ina upepo mwingi hadi unahisi paa la nyumba linanyanyuka sasaiviwakuu hiden roof au contemporary haina shida yoyote shida ipo kwenye mafundi wenu mnaowachukua hawajui kazi, ukiweka sinn roof(gundi ya kuzibia kwenye ukuta na bati) na wall flash cover kuvuja utakusikia kihama.
mnalalamika sababu ya kuchukua mafundi kanjanja ambao hawajui chochote