Mlioezeka paa contemporary mvua zimeanza hali ikoje kwako?

Fundi namba haipatikani ....
Nikikumbuka wale mafundi maneno yao ya kumshawishi tajiri atoe tenda huwa nacheka peke yangu utawasikia
"Shida sio aina ya paa shida hamkupata mafundi wataalamu ndio maana nyumba zinavuja,ukimpata fundi mtaalamu kuvuja sahau" baadae ukishampa tenda yanajitokeza yaleyale hahahaha
 
Haahaaa kiongozi utaki watoto waende chooni🤣
 
Nikikumbuka wale mafundi maneno yao ya kumshawishi tajiri atoe tenda huwa nacheka peke yangu utawasikia
"Shida sio aina ya paa shida hamkupata mafundi wataalamu ndio maana nyumba zinavuja,ukimpata fundi mtaalamu kuvuja sahau" baadae ukishampa tenda yanajitokeza yaleyale hahahaha
Nlitaka piga hii kitu ila fundi akaniambia mzee yani hii kitu ilibidi tuanze kuiandaa tukiwa kwenye msingi sio tumemwaga mkanda wa lenta ndipo unakuja na wazo hili nyumba itavuja mpaka uchanganyikiwe. Nikaachana nayo nikaezeka kawaida na sasa hakuna hata sehemu hata moja inayovuja.
 
Haya kazi kwenu.....

Sitanazi biashara ya mtu ila utamtambua mtu kwa matendo yake...

View: https://youtu.be/OlSK2iaVAVM?si=l1RQdOHWyH82yMGC

Ila wabongo tunaroho mbaya sana wenyewe kwa wenyewe. Utakuta mtu kapata fundi mzuri bei nafuu ujenzi imara ila hatoi connection, akitoa anakuwa dalali bei juu ili na yeye afaidike.

Mwingine amepigwa halafu anaona na wewe unaelekea hukohuko kupigwa hakustui anakuacha na wewe uingie hasara.
 
šŸ¤”ebhu ngoja kwanza mbona upo resi sana
 
Nlitaka piga hii kitu ila fundi akaniambia mzee yani hii kitu ilibidi tuanze kuiandaa tukiwa kwenye msingi sio tumemwaga mkanda wa lenta ndipo unakuja na wazo hili nyumba itavuja mpaka uchanganyikiwe. Nikaachana nayo nikaezeka kawaida na sasa hakuna hata sehemu hata moja inayovuja.
Kuna jirani zangu wawili maji yalizama ndani kama masihara.
 
Back
Top Bottom