Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha Story yako inachekesha na kufundishaWiki 4 zilizopita aliyekuwa classmate wangu alinisumbja sana, alinambia kuna ishu ya investment inaweza kuniingizia mamilion, mimi nikadhan ni true investment, maybe ana project proposal ambayo tunaweza kuingiza pesa tukapata pesa hv
Au maybe kuna kampuni unadhamin mikopo hivi, nikamwuliza ni ishu gani? Akasema haitoshi kuongea kwenye smu maana ni ishu pana.... dah nikatafakari... nikamwuliza, ni forever living? Akasema No, nikamwuliza ni Alliance? Akasena NO... doh.... nikamwambia nidokeze, akasema tuonane....
Sasa kwa kuwa nina miaka sjaonana naye tangu tulivyomaliza chuo, ikanbd niwapigie watu wake wa karibu, mmoja akasema alisikia anafanya kaz kampuni ya mikopo... nikasema oh bas huenda kuna mikopo huku, na kwa kuwa mimi siogopi mikopo na nina shida na pesa za kuingiza kwenye miradi... nikasema ngoja niende..........
Sku imefika, nikachukua usafiri.... fuuuuuuuu mpaka mwege...
Lahaula, kufika kule ananambia hii ishu inaweza kukuingizia had m. 15 kwa mwezi na hata kwa siku
Ishu gani mama???? Q_Net...... mimi lohhhhhh ehz inakuwaje.... oh unanunua bidhA hata moja, unajiunga, na ww unatafuta watu wanajiunga.... aseh, nikafanyiwa semina na watu karibu wanne..... mara kuoneshwa mapicha sjui nini
Dahhhh nilimwangalia classmate wangu nikamhurumia sana, nikawatazama wale vijana wengne wanaosema unapata hata m. 15 kwa wiki, mavazi yao hayafanani hata kidogo, ni watu wanaoonekana bado wanahangaika na kufungwa kifikra......
Sikutaka kuwaudhi, nikawaambia mimi nafanya miradi binafsi.. hata hvyo, nitawasiliana nanyi kesho...... ikawa kimoja
SHIME VIJANA, TUACHE SHORTCUT, PESA ZIPO KAMA TUTAJIINGIZA KTK MIRAD HALISI, KUTHUBUTU PASIPO KUJATA TAMAA. HAKUNA SLOPE KTK KUTAFUTA PESA, TUKUMBUKE MUDA UNAKWENDA
ni heri ukakodi shamba upande mpunga, uvune uuze
Damn!!!Kuna mtu mimi namfahamu aliuza gari yake na kujiunga QNET, ana zaidi ya mwaka sasa hajapata hata mtu mmoja wa kumuunganisha anajutia tu sasaivi.
Hao jamaa ni matapeli aisee. Mimi kuna ndugu yangu alinialika kwenye izo presentation zao, nikamwambia hiyo pesa milioni tano hata mkinikopesha siitaji kujiunga na huu upuuzi.
Kuna moja hiyo rafiki yangu alinipeleka huko, ofisi zao zilikuwa pale kinondoni sijui sasa kama bado wapo! maana ilikuwa 2yrs ago.
Sasa nimekupata ucjali mkuu! Lkn na mm nilihudhuria semina zote ukihitaji full data nitakupa. Ila sijajiunga kila siku wananipigia simu nikakope benki au niuze kiwanjaWacha kuita watu waongo wakati akili zako ni finyu. Umeshindwa hata kufahamu comment yangu.
Then what happened?
Mimi niliambiwa eti kule Qnet vijana wanaendesha rangerover na ukiingia tu ndani ya miaka 2 unaingiza milioni 500
Duhhj nomaaGood morning!!(changa la macho la kwanza)
Ukipigwa hiyo salamu unawehushwa kwanza jeshini tunasema wiki sita za kutolewa uraia kuingizwa jeshini pili unapigwa speech kali wakimrefer Bill Gates na kitabi cha poor dad rich dad cha kiyosaki cjui ukimalizwa hapo unapewa mda uje presentation ya pili hiyo ucipoenda hata home kwako watakutimbia utaonyeshwa kitabu kina saa mikufu na vifaa vingne vya nyumbani unaambiwa bei ya chini ni dola 2000 cjui saa ya golden rose limited edisheni(edition) ***** zao ukiwa naela ukiweka umeumia ukisema sina unapigwa sound uza hata kiwanja within one year utapiga pesa ndefu unaweza nunua nyumba posta kundindiku so usijali hako kakiwanja mda huo washaidharaulisha ajira yako yaan unalipwa laki saba kazi ilivyongumu ile achana nayo anatoa mfano wa.kisenge nlikuwa mhasibu anakitajia likampuni nlikuwa nalipwa milioni 2 ila nimeacha kazi baada ya hapa qnet kufanya vzr maisha yangu duuuh usipoingia kama mm ww ni Genius
after one year hata wewe nitakuwa nakupumulia kisogoni".
Kakosea hakukariri vizuri, ila hawa wanatia huruma wakikujia ama kukualika ofisini kwao, wanatumia nguvu nyingi kupindukia kufanya ushawishi ili ujiunge, na istoshe ukiwatazama miongoni mwao utawakuta wamo partners ambao wameingizwa chaka na wenzao na wanajuta hadi kufikia kuumiza mioyo yao, hata sura zao utaziona wakati wanatoa ushuhuda wa mafanikio huwa wanalazimisha tabasamu, ila wengine hapohapo utagundua kuwa hawakubaliani na hiyo mikitu, ila basi tuu wamebakia ili kurejesha mitaji yao. Mm leo hii ndio narudi kupigwa shule ili nijiunge. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mdada aliyekuja kunipanga nijunge nao aliniambia wanaimiliki timu ya man city... Nikamuuliza unaijua hata timu yenyewe na unamfahamu shehe Mansoor alibaki kutoa macho nikamfukuza.
Oh hell no sio poa kabisa haki tena😂😂That is true, I don't like to hear these kind of business. They managed to convince my son and he kept crying to do that business and I ended up giving my precious $1750. Kept going everywhere trying to build the pyramid until he ended up getting kwashakoo
Hahaaaa. Umejiunga au bado fursa hiyoKakosea hakukariri vizuri, ila hawa wanatia huruma wakikujia ama kukualika ofisini kwao, wanatumia nguvu nyingi kupindukia kufanya ushawishi ili ujiunge, na istoshe ukiwatazama miongoni mwao utawakuta wamo partners ambao wameingizwa chaka na wenzao na wanajuta hadi kufikia kuumiza mioyo yao, hata sura zao utaziona wakati wanatoa ushuhuda wa mafanikio huwa wanalazimisha tabasamu, ila wengine hapohapo utagundua kuwa hawakubaliani na hiyo mikitu, ila basi tuu wamebakia ili kurejesha mitaji yao. Mm leo hii ndio narudi kupigwa shule ili nijiunge. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mwanza wapo pale pasiasi kuna rafiki yangu aliacha kazi kaenda kujiunga kwenye huu ujinga paka namuonea hurumaHuku mwanza wanjiunga kwa dollar 2200 sawa na milion 5 ,hyo milion tano unachagua bidhaa moja lkn ili ww upate hela wanakuambia uwe na partners share yaani utafute watu ili utengeneze chain sasa najiuliza kama ww masikini umejiunga nao utaenda kutafuta wapi wa kutoa milion 5 wakti na ww marafiki zako ni walewale wenye kipato kama cha kwako
Kuna msela moja hapa tunamsubiria apige hela nitawaletea mrejesho,alijiunga january sasa anasubiria mwezi wa 6